Programming kwa wanaoanza...mawazo yenu!!

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
4,403
Reaction score
151
habari wana jamii!!
Ni muda sana nimekua navutiwa sana na haya maswala ya PROGRAMMING, na natamani sana kujifunza nami niwe programmer!!! kwa sasa nnajua kidogo sana kuhusu programming na juzi nimeanza jifunza HTML(Sielewi maana watu wanadai sio programming language).
Kwa kifupi sina programming language nnayoijua zaidi HTML ambayo nimeianza juzi!! je kama beginer ni programming language nianze nayo??...na je niendelee na hii HTML???
Nahitaji mawazo yenu wakuu!!!
 
kila programming language imetengenezwa kufanya kazi fulani kwa hiyo inabidi wewe uwe specifi unataka kufanya programming ya vitu gani then utapata mwazo..

Nakumbuka kipindi naanza kujifunza programming kwa mara ya kwanza nilichanganyikiwa manake nilikuwa na list ya language nyingi sana na kila language ina-clain kuwa ni easy to learn na powerful lakini badaye nligundua madhaifu na ubora wa language hizo then nikafanya uamuzi.

Cha msingi elewa kwanza unataka kufanya nini then utapewa language zinazoweza kufanya hayo unayotaka halafu fuatilia review then fanya uamuzi.
 
nimekupata mkuu...na mimi mpaka kuleta uzi hapa ni kwamba zimenchanganya!!! na kama umeusoma uzi wangu ni kwamba si mtaalamu ila nimevutiwa na hii field!! labda kama utafafanua ili iwe kwa manufaa ya wengine pia....
 
nimekupata mkuu...na mimi mpaka kuleta uzi hapa ni kwamba zimenchanganya!!! na kama umeusoma uzi wangu ni kwamba si mtaalamu ila nimevutiwa na hii field!! labda kama utafafanua ili iwe kwa manufaa ya wengine pia....

Nami nasubiri jibu hapa
 
Html sio programming language ni kweli.

Mimi nakushauri uanze na C#, ni modern, object oriented, kwa sababu ya Visual Studio unaweza kusetup environment kirahisi na pia kutengeneza program zenye GUI kirahisi. So install Visual Studio Express kisha nakushauri utafute kitabu kinaitwa Head First C#.
 
Anza na c prog, afu ingia c++ then piga java ,ingawa sasa hvi kuna mpya c#,html ni basic utacode page 50 kutengeneza page moja ya website but ni vizuri ujue html ukimaliza html tumia visual basic kuanza mazoezi kwakuwa nirahisi kuelewa
 
nimekupata mkuu!!! lakini kuanza c sharp haitaitaji knowledge ya c na c++?? naomba mchango wako!!!
 
labda ungetuweka wazi, lengo lango ni lipi, unafanya programing 4 fun au unategemea kuja kuajiriwa baadae?
 
labda ungetuweka wazi, lengo lango ni lipi, unafanya programing 4 fun au unategemea kuja kuajiriwa baadae?

Just for fun mkuu!!! Hilo ndio lengo kuu...ajira au kujiajiri baadae japo ni malengo pia!
 
soma c#,vb.net.. kwa c# ni powefully. ukifaham vizuri c sharp java nikama kusukum mlevi....
 
Anza na java direct...... Maana ukijua java itakuwa rahisi kujua c++ na c# maana utofautiana tu kwenye ku declare...... Mimi nilianza C++ na kwa sasa nimefuatia Java...... Ila naona yote sawa.... Java inaadvantages nyingi kuliko language yoyote ile....... Android wanatumia java kwa applications zake, na mi application nyingi za simu , windows na linux na websites nyingi utumia java(applets)...
 

Sawa sawa mkuu asante kwa ushauri wako!!! Je hii C imekaaje??
 
Anza na java ipo katikati sio rahisi kama python, wala sio ngumu kama C++
 
C na C++ ni zile zile.... Tofauti ya c na C++ kuwa c++ ilikuja kuondoa mapungufu ya C...... Ila developer ni walewale..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…