Programme ipi itamfaa??

Nkondo 2

Senior Member
Oct 10, 2016
163
127
Habarini za wakati huu...!
Mdogo wangu amepata multiple selection ktk third round iliyotolewa na TCU, programme alizochaguliwa n km ifuatavyo;

1. Bachelor of science in molecular biology and biotechnology. (UDSM).
2. Bachelor of science in food science (SUA).
Mosi, naomba kuuliza kwa wenye uzoefu wa wa course hizo je n course ipi itamfaa huyu dogo?
Pili, naomba kufahamu hizi n course zinazohusiana na masuala yapi?
Tatu, naomba kufahamu pia hali ya upatikanaji wa ajira pamoja na fursa zngne kwa course hizo.

Karbuni kwa msaada.
 
Mwambie aangalie anachoona anaweza kusoma kila programme siku hizi mtaani kusota nikawaida.....programme zote hizo ni nzuri Ila kuhusu undani wa programme jaribu kuingia google andika hizo programme utaelewa vizuri mno kuliko kuja kuuliza hapa maana itachukua muda mpaka wahusika wa hizo programme wajitokeze.
Fanya research mwenyewe mtandaoni natumaini utapata mwanga mzuri ambao utakusaidia ww na mdogo wako lakini pia itamsaidia kujua ni wapi atapendelea zaidi....
 
Naam mkuu shukran sn kwa ushauri mzur
 
Kama umeshindwa kuchagua unachoona kinafaa hapo, nakushauri soma hiyo kozi ya SUA kwasababu kozi nyingi za SUA ni competent na utajifunza mambo mengi zaidi.
 
Asome hyo ya kwanza itampa exposure katika suala ya kukabiliana na ukosefu wa ajira
 
Back
Top Bottom