infantry JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 319 Reaction score 316 Nov 10, 2016 #1 Naomba mwenye program hiyo au msaada wowote wa kunisaidia kuweza kubadili PC games ili ziweze kucheza kwenye PS 2..Natanguliza shukrani
Naomba mwenye program hiyo au msaada wowote wa kunisaidia kuweza kubadili PC games ili ziweze kucheza kwenye PS 2..Natanguliza shukrani
jT0078 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 422 Reaction score 331 Nov 11, 2016 #2 Boss haiwezekani
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,809 Reaction score 40,560 Nov 11, 2016 #3 Haiwezekani ila nadhani unaweza kudownload ps 2 iso game file. Kisha ukaliweka kwenye flash ukaplay
the great wizard JF-Expert Member Joined Dec 21, 2015 Posts 1,482 Reaction score 894 Nov 11, 2016 #4 hiyo haiwezekanani but inawezekana kucheza games za PS2 kwenye PC
4GPA Member Joined Oct 31, 2015 Posts 85 Reaction score 82 Nov 12, 2016 #5 Je utaibaili VP PS 2 iso game file ili icheze kwa kutumia flash
infantry JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 319 Reaction score 316 Nov 12, 2016 Thread starter #6 troublemaker said: Haiwezekani ila nadhani unaweza kudownload ps 2 iso game file. Kisha ukaliweka kwenye flash ukaplay Click to expand... Thanx kaka ngoja nijaribu hivyo,ntakupa mrejesho usisite kuendelea kunisaidia
troublemaker said: Haiwezekani ila nadhani unaweza kudownload ps 2 iso game file. Kisha ukaliweka kwenye flash ukaplay Click to expand... Thanx kaka ngoja nijaribu hivyo,ntakupa mrejesho usisite kuendelea kunisaidia
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,809 Reaction score 40,560 Nov 13, 2016 #7 msouth23 said: Je utaibaili VP PS 2 iso game file ili icheze kwa kutumia flash Click to expand... Namaanisha unadownload labda ps 2 game direct likiwa hivo hivo katika format ya ISO.
msouth23 said: Je utaibaili VP PS 2 iso game file ili icheze kwa kutumia flash Click to expand... Namaanisha unadownload labda ps 2 game direct likiwa hivo hivo katika format ya ISO.
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,370 Nov 14, 2016 #8 Inawezekana lakini ni kazi ngumu sana, game developers wanakiri hivyo.
C Casuist JF-Expert Member Joined Jul 23, 2014 Posts 1,189 Reaction score 2,971 Nov 14, 2016 #9 troublemaker said: Namaanisha unadownload labda ps 2 game direct likiwa hivo hivo katika format ya ISO. Click to expand... Naomba link mkuu..
troublemaker said: Namaanisha unadownload labda ps 2 game direct likiwa hivo hivo katika format ya ISO. Click to expand... Naomba link mkuu..
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,809 Reaction score 40,560 Nov 17, 2016 #10 Casuist said: Naomba link mkuu.. Click to expand... Ingia google boy, web ziko nyingi tu search.