Program ya ku-download video YouTube

Program ya ku-download video YouTube

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
286
Reaction score
599
Habarini za asubuhi

Nilikuwa natumia program ya download master ku-download video kwenye YouTube , Ila naona wamefanya maboresho na imekuja program ambayo siyo rafiki

Naomba msaada Kwa ambaye anafahamu program ya ku-download video YouTube ambayo ni rafiki

Ahsanteni
 
Kwa simu tumia TUBE PRO VIDEO DOWNLOADER, kwa PC tumia 4K VIDEO DOWNLOADER
Utakuja kunishukuru Mwl Mwakujonga

Time-12:15:15, File Size: 104MB = 75%
Time-12:15:56, File Size: 135MB = 98%
IMG-20230829-WA0008.jpg

IMG-20230829-WA0009.jpg
 
Ya play store jau ,mimi niliwahi kudowload play store ni ushubwada ila kuna jamaa wangu alinitumia link wasap nikaidowload hiyo vidmate nyingine ipo mbomba sana unaweza hata kuselect kwenye video uje audio tu pamoja na quality unayoipenda.
 
Unadownload ya kwenye kivinjari sio google play. Ni kweli ina uchaguzi wa kubadili video kuwa audio.
Hata videoder ilikuwaga bomba sana ila naona kama kama inagoma siku hizi hasa kwa simu matoleo mapya ya android.
 
Back
Top Bottom