Program mpya ya CHADEMA APP

Mr No fair

Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
84
Reaction score
127
Kwa wale wapenzi na wakeleketwa wa upinzani na hawataki taarifa zao ziende pembeni kuna program ya Chadema App ili kuipata rahisi sana

Umuhimu wa wewe mwanachadema na mwenye mapenz ya kweli na vyama vya upinzani hakikisha una hii program
Huko kunayafuatayo

Utaweza kuweka na kusoma topic kwa wanachama wenzako pia utaweza kutoa comment kwa kila topic

Utttaweza kupata video za matukio mbalimbali ya siasa nchini na nje ya nchi pia utaweza kuweka video na wengine kucomment video zenye maadhi ya siasa


Live session matukio yote muhimu ya siasa ya live utayapata kupitia chadema App


Gusa link kuipakua CHADEMA APP rebrand.ly/chadema


 
Kwa wale wapenzi na wakeleketwa wa upinzani na hawataki taarifa zao ziende pembeni kuna program ya chadema App ili kuipata rahisi sana

Umuhimu wa wewe mwanachadwma na mwenye mapenz ya kweli na vyama vya upinzani hakikisha una hii program
Huko kunayafuatayo

Utaweza kuweka na kusoma topic kwa wanachama wenzako pia utaweza kutoa comment kwa kila topic

Utttaweza kupata video za matukio mbalimbali ya siasa nchini na nje ya nchi pia utaweza kuweka video na wengine kucomment video zenye maadhi ya siasa

Live session matukio yote muhimu ya siasa ya live utayapata kupitia chadema App

Gusa link kuipakua CHADEMA APP rebrand.ly/chadema

 
Mbona haiko kwenye playstore?

Ni secured kweli?
 
Wewe ni nani hapo CHADEMA mpaka ututangazie app ya chama? Na kwa nini haipo playstore?
 
Huyu jamaa ni New Member... Karibu sana Jamii Forum.

Humu kuna Verified account ya Chadema na ya Afisa habari wa chama nadhanani hao ndio wangeweza zaidi kulizungumzia hili.

Tumaini Makene.
CHADEMA.
 
Wanachadema kwani wapo mbona sijawaona kwenye maandamano!
 
Ipuuzeni link hiyo mpaka itolewe taarifa rasmi na viongozi makini.
 
Huyu jamaa ni New Member... Karibu sana Jamii Forum.

Humu kuna Verified account ya Chadema na ya Afisa habari wa chama nadhanani hao ndio wangeweza zaidi kulizungumzia hili.

Tumaini Makene.
CHADEMA.
Sio kila habari zinattoka ITV kuna njia nyingi za habari hapo ndipo tunapofail upinzani eti mpka viongggozi wetu waseme je huoni yaliyotokea juzi juzi baada ya viongozi kusema ndiyo dola ikapanga jinsi ya kuzuia sometimes hakuna aja ya kusema ni kufanya tu je huoni kama wakisema juu ya huo mtandao ndiyo dola itatumia nguvu yake kuuzuia hapa nikuutumia uwafikie wengi mpaka dola ijue mtandao unakuwa umeshawafikia watanzania wengi sio mpka kila kitu uambiwe na viongozi


Hope nimeeleweka


Na point ya mimi kuwa new member sio kesi hida n mimi kufikisha hudum kusudiw yaani lengo la uzi niliouweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…