Program Matata sana, inaitwaje?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Wakuu na wataalamu wa Programu za Android na PC je program/app gani imetumika kuandika juu ya hizi picha?

Nitashukuru sana Nikizipata!
 
Meme Creator

Quotes Creator.

Una-upload hiyo picha kutoka kwenye gallery yako halafu unaongezea hayo maandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…