Program inayofungua PC ikiwa inazingua kuwaka

Kuwasha kivp....? Kwan hyo Machine ni mpya na Haina window....? Piga namba hii kwa Msaada 0713302846
 
Wadau wa jf mambo vip mnisaidie program ya kuwasha kopyuta na jinsi ya kuipakuwa mtandaoni au mwenye nayo anisaidie wapendea


Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mzee hio Program Una Install kwenye Mouse au Keyboard??? maana Ili uitumie mashine inatakiwa Iwe imewaka na Hio Program ipo Ndan ya mashine Sasa wewe Utaitumiaje au una njia Yako? anyway Program Inaitwa PowerIso [emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…