Heshima mbele mkuu, kuna program (AUTOCAD) imegoma kufunguka kwenye pc yangu hapo awali ilikuwa ikifunguka na ku-function vzr tu, kama siku 3 sahv ukii-click kasa inaload 2 kwa sekunde chache then ina2lia bila progmam kufunguka, naomba msaada wa nini chakufanya ili niweze ku2mia hyo AUTOCAD. ahsante!