Profile yangu ya NACTE haifunguki

Joined
Jan 15, 2015
Posts
51
Reaction score
24
Chuo cha kodi (ITA) wamenipigia simu wameniambia niangalie profile yangu lakin kina nikifungua haifunguki....
 
majina yamepelekwa katika vyuo husika na chuo husika ndicho kitakacho mtaarifu mwanafunzi wake kuhusu kuchaguliwa kwake pamoja na kumpatia joining instruction.
 
yaani siwaelew mnao sema selection zmetoka source tafadhar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…