Nabi angelijua, asingeondoka Yanga. manake hata gamond ukimwangalia hajavivaa vizuri viatu vyake. wamtimue tu huyu muajentia wamrudishe Nabi.Ikiwa mechi ya pili ya marudiano kati ya Far Rabat na Etoil du Sahel, kocha wa zamani wa Yanga prof Nabi pamoja na mchezaji wa zamani mtukutu Morrison wana kibarua kigumu leo kufuzu michuano ya klabu bingwa hatua ya makundi.
Mechi ya awali iliisha kwa Far Rabat kufungwa goli moja na leo wakiwa nyumbani tayari wameshatanguliwa goli moja na wapo pungufu.
Kama mpira utaisha hivyo, maanake Nabi atakuwa amefundisha misimu zaidi ya mitatu na timu tofauti pasipo kuifikisha timu makundi katika mashindano ya klabu bingwa. Kila la kheri liwe juu yake siku ya leo.
😃😃😃Alikuwa anawachelewesha!Kwa hiyo uto washukuru sana jamaa kaondoka. [emoji3]
Itategemea mkataba wake ukoje.Mpira una matokeo 3. Ikitokea akatolewa, atajipanga upya kwa msimu ujao.
Sijui kama umeongea kwa utani au unamaanisha. Yaani unataka kumlinganisha mtu aliyekaa na timu kwa misimu miwili dhidi ya mtu aliyekaa na timu kwa miezi tu mitatu kisha unafanya hitimisho la kutovaa viatu vya Nabi.Nabi angelijua, asingeondoka Yanga. manake hata gamond ukimwangalia hajavivaa vizuri viatu vyake. wamtimue tu huyu muajentia wamrudishe Nabi.
ndio kashaitwa mkuu. Hakuna namna lazima tu utasikiaSipendi sana Kusikia NABI ANAITWA PROFESA.
huyo gamond anatembelea nyota ya Nabi, ni sawa sa100 anavyotembelea nyota ya jiwe, kila kitu NABI alishaweka yeye anatumia tu.Sijui kama umeongea kwa utani au unamaanisha. Yaani unataka kumlinganisha mtu aliyekaa na timu kwa misimu miwili dhidi ya mtu aliyekaa na timu kwa miezi tu mitatu kisha unafanya hitimisho la kutovaa viatu vya Nabi.
huyo gamond anatembelea nyota ya Nabi, ni sawa sa100 anavyotembelea nyota ya jiwe, kila kitu NABI alishaweka yeye anatumia tu.
feizatoto ndio napenda kweli moyo umuume namna anavyoangalia kwenye luninga wenzake wanapiga boli yeye analamba ice cream na kuimba taarabu. aende kwa sa100 tena akamwambie amsaidie kiwango chake cha mpira.Nabi na Fei sijui wanajisikiake now
Moral of the story: HELA SIO KILA KITU!
feizatoto ndio napenda kweli moyo umuume namna anavyoangalia kwenye luninga wenzake wanapiga boli yeye analamba ice cream na kuimba taarabu. aende kwa sa100 tena akamwambie amsaidie kiwango chake cha mpi
Kijambio kinakuwasha, sema ukunwe.Nabi angelijua, asingeondoka Yanga. manake hata gamond ukimwangalia hajavivaa vizuri viatu vyake. wamtimue tu huyu muajentia wamrudishe Nabi.
Tukusaidieje?Sipendi sana Kusikia NABI ANAITWA PROFESA.
NakaziaKijambio kinakuwasha, sema ukunwe.