Professor Mkumbo achafua hali ya hewa kwa kuamua kuwatolea uvivu Wapinzani kwa kuwaambia....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,043
119,616
Katika hali isiyo ya kawaida ambayo sidhani kama pia itavumiliwa na Wapinzani wa nchi hii ( hasa CHADEMA ) Mwanasiasa, Mchambuzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Professor Kitila Mkumbo ameamua kuwatolea uvivu Wapinzani wa nchi hii hasa hasa wa CHADEMA baada ya kuandika katika Kurasa yake ya Tweeter kwamba nanukuu " Wapinzani wa nchi hii wanaugua Ugonjwa mpya uitwao Opposition Defiant Disorder ( ODD ) ambao huathiri mfumo wao mzima wa Kufikiri / Kuwaza na kuwapelekea Wapinzani ( CHADEMA ) kila mara na kila siku wao kuwa ni wapingaji tu wa kila kitu hata kama kina manufaa kwa nchi hii / taifa hili na kwamba Wapinzani ( hasa CHADEMA ) wanastahili haraka sana kupata Tiba ya akili ili waweze kutambua kuwa kuwa Mpinzani haimaanishi kupinga tu kila kitu " mwisho wa kumnukuu.

Je mnadhani huyu Professor na Msomi aliyetukuka kabisa Kitila Mkumbo kwa kauli yake hii yupo sahihi na pengine labda wahusika Wapinzani ( hasa hasa CHADEMA ) wanatakiwa kubadilika haraka na wakapate kweli Tiba ya Ugonjwa wao unaowasumbua wa ODD au labda Yeye Professor Kitila Mkumbo ndiyo amekengeuka / amepotoka na yawezekana Yeye ndiyo amewehuka / kawa wa hovyo hovyo hivyo anahitaji kutangulia kwenda Milembe Hospital Mkoani Dodoma kupata tiba.

Mjumbe hauwawi!

Nawasilisha.
 
Nawe pia ODD?
 
Hivi na sisi tuna maprofesa wa kujivunia??? Wenye PHD tu wanakataa thesis zao hawa maprof nao njaa tu ngoja nimfate huko huko Twitter

Kila la kheri unapojiandaa kumfuata huko kwa Wasomi wenzako Tweeter Mkuu na natumai utajenga nae hoja vizuri kwani huyo Jamaa ni Msomi wa uhakika hivyo kama akigundua hoja zako ni za Kiupupu / Kipuuzi basi anaweza asikupe ushirikiano katika kukujibu kile utakachoandika katika Kurasa yake. Unapomkabili huko hakikisha na Wewe ni Great Thinker wa ukweli na siyo Ngumbaru / Hopeless.
 
Katika hali isiyo ya kawaida ambayo sidhani kama pia itavumiliwa na Wapinzani wa nchi hii ( hasa CHADEMA ) Mwanasiasa, Mchambuzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Professor Kitila Mkumbo ameamua kuwatolea uvivu Wapinzani wa nchi hii hasa hasa wa CHADEMA baada ya kuandika katika Kurasa yake ya Tweeter kwamba nanukuu " Wapinzani wa nchi hii wanaugua Ugonjwa mpya uitwao Opposition Defiant Disorder ( ODD ) ambao huathiri mfumo wao mzima wa Kufikiri / Kuwaza na kuwapelekea Wapinzani ( CHADEMA ) kila mara na kila siku wao kuwa ni wapingaji tu wa kila kitu hata kama kina manufaa kwa nchi hii / taifa hili na kwamba Wapinzani ( hasa CHADEMA ) wanastahili haraka sana kupata Tiba ya akili ili waweze kutambua kuwa kuwa Mpinzani haimaanishi kupinga tu kila kitu " mwisho wa kumnukuu.

Je mnadhani huyu Professor na Msomi aliyetukuka kabisa Kitila Mkumbo kwa kauli yake hii yupo sahihi na pengine labda wahusika Wapinzani ( hasa hasa CHADEMA ) wanatakiwa kubadilika haraka na wakapate kweli Tiba ya Ugonjwa wao unaowasumbua wa ODD au labda Yeye Professor Kitila Mkumbo ndiyo amekengeuka / amepotoka na yawezekana Yeye ndiyo amewehuka / kawa wa hovyo hovyo hivyo anahitaji kutangulia kwenda Milembe Hospital Mkoani Dodoma kupata tiba.

Mjumbe hauwawi!

Nawasilisha.
huu ugonjwa ndo haswaaa unamsumbua yeye sababu hajitambui na hajui upinzani unasimamia kitu gani..
apelekwe muhimbili tu.
 
Ila kumbukeni kuwa hakuna Professor anayekosea katika kile anachokisema na kwa Elimu yake kubwa Mkumbo yawezekana ameyaona mapungufu mengi sana na yasiyovumilika ya CHADEMA. Mkuu na Wewe ni Professor kama Kitila Mkumbo labda? Ndiyo maana sisi wengine tusio Wasomi kama Yeye tumebaki tu njia panda na nimeileta hii humu kwenu nyie ili muweze kulikabili Kihoja na mtusaidie akina sie GENTAMYCINE tusio na Elimu yoyote ile.
 
Back
Top Bottom