Professor Assad ni tunu ya Taifa

Professor Assad ni tunu ya Taifa

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,570
Reaction score
16,017
Great thinkers naona utendaji wa Professor Assad ni mzuri sana, nakumbuka kipindi anateuliwa mi nilikuwa mmoja wa waliombeza ila ukweli ni mtendaji na ninamuomba msamaha. Tunahitaji kumuunga mkono!
 
Unaposema Tunu unamaanisha nini? yeye ni sawa na Bendera au wimbo wa Taifa?. Anyway, tumpe muda, uenda akafuata nyayo za Ludovic
 
Great thinkers naona utendaji wa Professor Assad ni mzuri sana, nakumbuka kipindi anateuliwa mi nilikuwa mmoja wa waliombeza ila ukweli ni mtendaji na ninamuomba msamaha. Tunahitaji kumuunga mkono!

You have a point. Ameendeleza mazuri ya Utouh. Tatizo, kama ilivyokuwa kwa Utouh, kazi zake hazifanyiwi kazi. Watu wanazidi kuiba kama hakuna kesho.

Katiba mpya ijayo (siyo hii ya nyoka mwenye makengeza) lazima iweke vizuri na kuipa ofisi ya CAG meno. Wasiishie kushauri.
 
Tatizo lake mnoko mno kama Sokoine

Nahisi kama vile wabaya wake wanafanya kusudi kumpa cheo ili waje kummaliza au ajimalize

inabidi awe na vitengo vya kila namna kumlinda
 
Du hii mashine ya nguvu heavy duty.lutoh amekitahidi lkn hatomfikia huyu asaad jembe.
 
labda umekosea nikurekebishe ni nyara ya taifa make naona kiswahili vijana mnapindua mnavyotaka
 
Great thinkers naona utendaji wa Professor Assad ni mzuri sana, nakumbuka kipindi anateuliwa mi nilikuwa mmoja wa waliombeza ila ukweli ni mtendaji na ninamuomba msamaha. Tunahitaji kumuunga mkono!

Sisi alietufundisha ud ndio tunamfahamu vizuri yule jamaa ni jembe mbayaaa.
 
Great thinkers naona utendaji wa Professor Assad ni mzuri sana, nakumbuka kipindi anateuliwa mi nilikuwa mmoja wa waliombeza ila ukweli ni mtendaji na ninamuomba msamaha. Tunahitaji kumuunga mkono!

Mtu mnafiki huonekana hapa hapa. Wewe si umeanzisha thread ya "CAG umechanganya professionalism na siasa".
Hivi nawe pia ni great thinker? Wacha double faces zako hizo!
 
Back
Top Bottom