Mzee Moshi unayasikia hayo?
Mzee Mkuyuga, hazina ni mahali ambapo toka tupate uhuru kumekuwa na majority ya kabila moja, na baada ya kuanzishwa kwa TRA, ni wale wale waliohamihswa toka hazina na kwenda huko,
kwa hiyo kabila likaendelea, Mramba alipokwenda alikuta kumeiva tayari, hakufanya kitu chochote kama vile Mama Meghji sasa ambavyo hawez kufanya kitu? Mramba tulimtetea kuwa akiwa huko hazina angaalau kazi kidogo ilionekana,
ingawaje sasa kwenye ule ujenzi wa bara bara ni kweli alichemsha, isipokuwa Mzee Kisumo, ndye anayemuwekea kifua lakini alitakiwa awe nje tayari!