kinotel technology center
Member
- Oct 18, 2016
- 10
- 4
Wakuu sikilizeni
Mkileta matangazo ya hivi ni bora mkatupa na mwanga kdogo wa hiz training na course zenu mfano nan anapaswa kusoma hiz je ni lazima awe na msingi fulan before au
Kwa sababu kuna watu ambao tunapenda tuwe na knowledge ya vitu vingi sasa mkitupa mwanga tunapima moja kwa moja
Una akili sana kijana umeuliza Jambo LA msingi Mimi pia limenigusaWakuu sikilizeni
Mkileta matangazo ya hivi ni bora mkatupa na mwanga kdogo wa hiz training na course zenu mfano nan anapaswa kusoma hiz je ni lazima awe na msingi fulan before au
Kwa sababu kuna watu ambao tunapenda tuwe na knowledge ya vitu vingi sasa mkitupa mwanga tunapima moja kwa moja
mawasiliano yetu ni: +255 629 082918, +255 675217012, +255 768 012826Wekeni hapo Mawasiliano ya ofisi kuna watu tupo Mikoani tujue I'll tujipange tuje kusoma
Nimepiga Mara mbili haijapokelewamawasiliano yetu ni: +255 629 082918, +255 675217012, +255 768 012826
email: sales@kinoteltz.com
Pia kama tunaweza kuapata mawasiliano yako kwaajili ya maelezo zaidi. Karibu sana
Namba zetu zote zipo hewani, naomba uangalie vizuri namba na upige tena.Nimepiga Mara mbili haijapokelewa
Namba zetu zote zipo hewani, naomba uhakikishe na upige tena. Au unaweza kututumia namba yako kupitia email: sales@kinoteltz.comNimepiga Mara mbili haijapokelewa
Ada zetu kwa course ya cisco (CCNA ni Tsh 600,000/=) na kwa ORACLE database ni Tsh 600,000/=. na bei ya mtihani ni USD 350 kama ukisoma hapa kwetu. Kwa mtu ambaye hajasoma kwetu pia bei yake ni USD 350 lakini gharama hii inakua bila supervision kabla ya mtihani, ukitaka kuwa na supervisor atakaye hakikisha uwezo wako unakidhi kufanya mtihani bei yake inakua USD 450.Tupe Ada sh Ngapi na kufanya mtihani wenyewe WA Cisco...!
Vipi kuhusu NETWORKING POWER AND SWITCHING SYSTEM Ada ni bei na kozi ni Muda ganiAda zetu kwa course ya cisco (CCNA ni Tsh 600,000/=) na kwa ORACLE database ni Tsh 600,000/=. na bei ya mtihani ni USD 350 kama ukisoma hapa kwetu. Kwa mtu ambaye hajasoma kwetu pia bei yake ni USD 350 lakini gharama hii inakua bila supervision kabla ya mtihani, ukitaka kuwa na supervisor atakaye hakikisha uwezo wako unakidhi kufanya mtihani bei yake inakua USD 450.
mkuu kama mna website hebu tupiA hapA tupate kujuA zaidI.Excuse our dear customers, Our working time is from 08:00AM to 08:00PM. So i will be offline until tomorrow morning.
Samahani kwa Hili swali nini Faida za kusoma ORACLE Database napozungumzia faida Nina maaana ntaweza kufanya nini baada ya kusoma ORACLE DatabaseAda zetu kwa course ya cisco (CCNA ni Tsh 600,000/=) na kwa ORACLE database ni Tsh 600,000/=. na bei ya mtihani ni USD 350 kama ukisoma hapa kwetu. Kwa mtu ambaye hajasoma kwetu pia bei yake ni USD 350 lakini gharama hii inakua bila supervision kabla ya mtihani, ukitaka kuwa na supervisor atakaye hakikisha uwezo wako unakidhi kufanya mtihani bei yake inakua USD 450.