Professional shoe shiners

Azikiwe

Senior Member
Joined
Nov 13, 2009
Posts
190
Reaction score
20
Professional shoe shiners
 

Attachments

  • Photo-0117.jpg
    227.1 KB · Views: 754
Wapi hii kitu hapa lazima nikalale kwenye sofa
 
ubunifu mzuri sana waweke na gazeti kabisa ujisomee
 
Unapandaje huko juuu....kama umevaa mini unakaaje hapo.
 
Wapi hii kitu hapa lazima nikalale kwenye sofa

Hii kama sio Harare Zimbabwe basi huenda ikawa Nairobery Kenya maana kote huko ndio wana huu ustaarabu wa shoe shiner kuwekewa sehemu kama hizo na serikali especially kwenye vituo vya Citi hoppas(daladala)
 
Kwa kuwekeza huku hata kodi TRA watakuwa wanalipa.
 
Kitu Nairobery hapo, watu wanapiga kazi mwanzo mwishoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…