Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,393
- 6,895
Mkuu hilo kosa nimeliona na iliniwia vigumu kulisolve kwa kutumia approach ya kuassume na kutilia maanani magari yalipoanza safari, ndio maana unaona nimetumia approach ya meeting point na kuassume kuwa gari hizo zimeshachapa mbuga kiasi kwamba zimebakiza lisaa limoja kukutana. kitu ambacho ni sahihi kabisa kwa mtazamo wangu.
Hapana siyo sahihi, hapo utakuwa umetunga swali jingine. Hatufundishwi hivyo shuleni