Habari!
Mimi ni
Creative Logo & Brand Identity Designer mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika hii tasnia. Nimebobea katika kutengeneza
professional, simple and clean logos kwasababu ninaamini logo ni image ya brand yoyote ile na itadumu kwa muda mrefu na pia itatakiwa kutumika katika vitu mbalimbali kuanzia vikubwa kama billboard hadi vidogo kama
business cards, kuanzia vitu vya
kuprint, online na katika
media kama video. Pia logo a aina hii ni rahisi kwa kukumbukwa kwamaana hukaa haraka sana katika kichwa cha mtu yeyote yule.
Ninaamini kama unapenda na unahitaji logo nzuri utanitafuta ili nikukamilishie hitaji lako.
Gharama (in Tshs):
1. Logo na Logo presentation - 100,000/=
2. Logo, Presentation na Brand Guidelines - 150,000/=
3. Logo, Presentation, Brand Guideline na Logo Animation - 250,000/=
4. Logo, Presentation, Brand Guidelines, Logo Animation, Stationery items - 300,000/=
5. Logo, Presentation, Full Brand Identity Design - 500,000/=
NOTE:
Chagua
Package unayoihitaji au unayoimudu, Lakini pia tunaweza kupanga package yako kuendana na vitu unavyovihitaji.
Mawasiliano ni Call/sms/ whatsapp +255742987749
Ahsante!
Karibu!
Angalia samples hapo chini ( samples zote hapo chini ni
imaginary brands kwa maana siwezi
kushare kazi ya mteja bila ruhusa yake ).