Professional/Business email na umuhimuwake.

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,092
Reaction score
1,917
Wafanya biashara na wajasiria mali wengi Tanzania wanashindwa kutumia au wana chukulia wepesi kiungo hiki muhimu kwenye biashara na kampuni

unapojitanabaisha kuwa wewe ni kampuni au biashara suala la digital branding ni muhimu sana hasa nyakati hizi za digitalisation

Professional/Businesse email ni zipi..

hizi ni email zenye domain ya kampuni au biashara yako.

badaya ya kutumia email ya > jumamgunda@gmail.com basi inakua info@jumastore.com

hii hukuongezea uaminifu kwawateja pia ni branding .
 
Upo sahihi chief
 
Tatizo watu wengi wanahofia sana gharama za Email Hosting, japokuwa gharama zake sio kubwa ukilinganisha na Website hosting.
 
Domain ni

25000 host 130,000, kwa mwaka ni package ya mana kabisa
 
Back
Top Bottom