PROFESOR JAY - NA BADO
Na mwaga Damu juu ya fedha/ na dini mitaa ya kati/ kuwa makini Tumuamini nani..?/ mie mc fanani mchaza vichwa Amani/ Au kiongozi Saratani / acha hanasa na mpaka Siasa hakuna Tundu kwenye Sanaa/ hii balaa jiangalie saa ukutani/ tufanye kweli kwenye fani/ kuwa mapaga nani asafishe meno haya mama/ matanga Wivu ni ufunguo kaa tindikali kichwa cha daktari/sijikwezi na vina bali naleta jina/ kwenye fani ya Bongo piga madongo/ ubongo, misuli ,mitindo,kaburi ,mihuri ya nchi kali/ fedhuli nani mc nani Rapa / amani kwa stev na Baraka / hutukusi kaka ma mc wenye Roho saba (7) za paka/ navuka mpaka Natahiri kipaza kicha mdundo nabaka/ haya madini mizizi chini kama mwarobaini/Kichwani unalo jawabu Imam Abbas , Professor Jay Rap adhabu/ simba wa nyika/ mpaka maiti inaitika/ mmekwisha !!.... natoa kisago na bado......!!!!
Imam Abbas ( na bado by professor jay)
Wagapi mmemuelewa Imam Abbas humu alichozungumzia funguka kwenye moment selection
Only real hip hop fans...
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202