Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 44
padri slaa mbona nasikia ametoroka bila kuaga?

Du, Dada Asha, kumbe upo! Siku nyingi sijakusoma... usijipoteze hivyo bwana...Nimekaa na wanawake wa Uzini wamefurahi kumuona Dr Slaa akifanya mikutano nao mashambani. Hata hivyo wametaka Profesa Safari aje Zanzibar. Wanasema wamesikia sifa za Profesa huyu katika kuwasimamia haki za wanaharakati wa haki zao mahakamani.
Wanataka awaeleze sababu za yeye kujiunga na CHADEMA pamoja na shutuma ambazo zilikuwa zikitolewa na CCM na CUF kuhusu chama.
Kampeni hapa zinazidi kupamba moto, maskani kinachozungumzwa ni ushindani kati ya CCM na CHADEMA. CUF inaelekea kupoteza mvuto. Mwanzo wa mikutano ya hadhara ya CUF adui yao mkubwa ni CHADEMA, Bwana Jussa alieneza maneno kuwa CHADEMA haiwapendi wazanzibar ndio maana kwenye viti maalum haikuteua hata mbunge mmoja kutoka Zanzibar.
Kilichowashusha thamani ni kuanzia wiki iliyopita walipanda jukwaani wabunge wa viti maalum wa CHADEMA kutoka Zanzibar Raya Khamis na Mwanamrisho Abama watu wa Uzini wakajua kwamba kumbe CUF na Jussa kazi yao ni urongo.
Dr Slaa ukisoma hapa tafadhali mtume Professor Safari akaongeze nguvu
padri slaa mbona nasikia ametoroka bila kuaga?
Dr Slaa ukisoma hapa tafadhali mtume Professor Safari akaongeze nguvu
padri slaa mbona nasikia ametoroka bila kuaga?
Nimekaa na wanawake wa Uzini wamefurahi kumuona Dr Slaa akifanya mikutano nao mashambani. Hata hivyo wametaka Profesa Safari aje Zanzibar. Wanasema wamesikia sifa za Profesa huyu katika kuwasimamia haki za wanaharakati wa haki zao mahakamani.