Ndagullachrles
JF-Expert Member
- Jun 20, 2023
- 213
- 228
Kwanini...Tarura Kilimanjaro wameelemewa
Wewe hadi leo kwenu hakuna StandNyinyu si mmekuwa na barabara toka uhuru...mko mnawacheka watu wa bukoba wanavyosemaga kero zao[emoji3]...na kama mnawashangaa as mmeendelea sana[emoji23]
luambo makiadi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hawafanyi kazi kwa wakatiKwanini...
Inawezekana..Hawafanyi kazi kwa wakati
Hivi kwanini mabogini hiyo, njiapanda, mailisita hawataki kuziweka ndani ya manispaa? Wakati kanda ya ziwa manispaa na halmashauri za miji zimeanzia poriniMbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka wakala wa barabara za mjini na Vijijini (TARURA) kuharakisha mchakato wa ujenzi wa barabara ya Geti Fonga hadi Mabogini kwa kiwango Cha lami.
Ndekidemi ametoa kilio hicho leo mjini Moshi kwenye kikao cha Bodi ya Barabara kinachoendelea kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Amesema barabara hiyo inaumhimu mkubwa kwa wananchi wa kata ya Mabogini hasa kwenye shughuli za uzalishaji Mali.
"Mheshimiwa mwenyekiti siasa za Moshi ni barabara na si kitu kingine kwa hiyo miwaombe sana watu wa Tarura kuharakisha huo mchakato".amesema.
Amesema kwa muda mrefu barabara ya mabogine imekuwa na changamoto kubwa kutokana na barabara hiyo kuwa katika Hali mbaya.
Mbali na hilo, Ndakidemi akashauri Tanroads kirekenisha bajeti zake Ili kuwepo na uwiano mzuri wakati wa utelekezaji wa miradi ya Barabara badala ya kuelekeza nguvu kubwa kwenye maeneo mengine na maeneo mengine kupewa bajeti ndogo.
Amesema kwenye jimbo lake Bajeti ya ujenzi wa barabara kwa kiwango Cha lami Tanroads wamepeleka bajeti ndogo.
"Mheshimiwa mwenyekiti kiwango Cha kilomita 0.5 ni kiwango kidogo sana kama tunataka kuwasiadia wananchi tuache kupendelea upande fulani."
Tena zinajengwa mbili kwa mkupuo....kuu na ya daladala mjini kati...Wewe hadi leo kwenu hakuna Stand
Profesa Ndakidemi . Jimbo limekushindaMbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka wakala wa barabara za mjini na Vijijini (TARURA) kuharakisha mchakato wa ujenzi wa barabara ya Geti Fonga hadi Mabogini kwa kiwango Cha lami.
Ndekidemi ametoa kilio hicho leo mjini Moshi kwenye kikao cha Bodi ya Barabara kinachoendelea kwenye Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Amesema barabara hiyo inaumhimu mkubwa kwa wananchi wa kata ya Mabogini hasa kwenye shughuli za uzalishaji Mali.
"Mheshimiwa mwenyekiti siasa za Moshi ni barabara na si kitu kingine kwa hiyo miwaombe sana watu wa Tarura kuharakisha huo mchakato".amesema.
Amesema kwa muda mrefu barabara ya mabogine imekuwa na changamoto kubwa kutokana na barabara hiyo kuwa katika Hali mbaya.
Mbali na hilo, Ndakidemi akashauri Tanroads kirekenisha bajeti zake Ili kuwepo na uwiano mzuri wakati wa utelekezaji wa miradi ya Barabara badala ya kuelekeza nguvu kubwa kwenye maeneo mengine na maeneo mengine kupewa bajeti ndogo.
Amesema kwenye jimbo lake Bajeti ya ujenzi wa barabara kwa kiwango Cha lami Tanroads wamepeleka bajeti ndogo.
"Mheshimiwa mwenyekiti kiwango Cha kilomita 0.5 ni kiwango kidogo sana kama tunataka kuwasiadia wananchi tuache kupendelea upande fulani."
Bro umefika nyumban kwangu kabisaaa. Mbona hukunitafuta aiseeUkitoka moshi mjini kupitia road ya boro chini huku hadi kwake uyo mbunge ni vumbi tupu nimewai kupiga stori na mwanae wa kike mzuri balaaaa.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app