Profesa mwenye digirii 145!

Ana ugonjwa wa kusoma huyo! hahahhahahahahahahaha
 
Nasikia ukisoma sana ukapata PHD unakuwa huwezi kuongea na kuandika vizuri kiingereza maana unakisahau.. On behalf of myself and people of Tanzania
unataka shari wewe!
 
Course ya actuarial science ni ngumu sana lakin ukijidedicate unaweze faulu vizur lakin chanjo cha Kuifaulu ni kusomea chuo kizuri,kujituma na uwe unajua hesabu nikimaanisha upende kuelewa probability kiujumla kama mwanzo wa kuipenda for more information about it email me arthur.malya@ymail.com
 
Kuna watu wana vi phd vyao vya kukariri na hatulali, je wangekuwa na yote hayo?
 
Elimu ya bongo tunabaniana sana. Mtu kukupatia PhD anahisi kama atapoteza kiungo cha mwili wake
Kuna moja tu hapo kaogopa kuipiga zaidi ya mara moja, ambayo ni "PhD" nyingine zote kazichafua ile mbaya especially Master, unajua kwa nini hakuipiga zaidi?....
 
Kwa kiswahili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…