Profesa mwenye digirii 145!

Nasikia ukisoma sana ukapata PHD unakuwa huwezi kuongea na kuandika vizuri kiingereza maana unakisahau.. On behalf of myself and people of Tanzania
Mh....uchochezi huu
 
Nilijua tu india. Wazee wa 30 years of experience
 
Hahaaaaa uwiiii
 
Zaidi ya vitabu na research papers kuna kingine anachokijua katika dunia hii?
 
Bila shaka na yeye anaamini katika kusoma zaidi,kuliko ugunduzi wa vitu vipya,ni mzungu pekee anayejua kuitendea haki elimu.
 
Huyu mzee nae comedian kweli.
Kuna Comedian na Mkweli huyo Mzee ni Mkweli Nabii hakubaliki Kwao..

Bora Rungwe kuliko huyu wa Sasa maana Ni Shida kwakuwa katuunganisha Watanzania wote ni wapiga Deal kisa hali tete mitaani kote nchi nzima badala ya kuwasema ccm wenzake... Tunayamaze vipi.... me sikuhizi nikisia Maandamano walai Naandamana ila sio mikono mitupu maana tokea utotoni ukinipiga lazima nikurejeshee kwetu watu hutembea na sime hatuonewe onewi kizembe
 
Nimesoma kote uko sijaona income yake per month au inaishia kulipa fee.
 
sio kwa utitili wa madigirii,mamastaz na mapihechidii hayo aisee.

huyu muhindi si bule,bila shaka amechanganya wazazi.

mzazi wake mmoja ni muhaya toka tz na mwingine muhindi wa huko huko kwao india.
 
Elimu yao sio kama kwetu. Huku tunasoma miaka mingi mno hadi uje uipate hiyo shahada miaka aisee
 
sio kwa utitili wa madigirii,mamastaz na mapihechidii hayo aisee.

huyu muhindi si bule,bila shaka amechanganya wazazi.

mzazi wake mmoja ni muhaya toka tz na mwingine muhindi wa huko huko kwao india.
Hahahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…