Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
Kuelekea uchaguzi kwa 2015, habari za kuaminika kutoka vyanzo visivyopenda kujulikana zinadai kuwa hawa jamaa sasa hivi hawaivi chungu kimoja. Ingawa mwaka 2005 walikuwa pamoja, inaaminika kuwa sasa kila mtu yuko kivyake hasa kwa vile Dr. Mwakyembe naye ni malighafi ya urais
Pia inaaminika sasa hivi JK anaelewana vizuri na Profesa Mwandosya kwani aliyekuwa hasa anawatenganisha kabla( ukiacha ugomvi wao wa zamani) ni Edward Lowasa ambaye inasemekana anaelekea kumalizwa nguvu zake ndani ya CCM na serikali.
Kitendo cha Profesa kuwa karibu na JK kinaonyesha kuwa angalau sasa Profesa anaweza kuwa na sapoti fulani toka kwa JK kama ataamua kugombea. Kitendo hicho hakijawafurahisha Sitta na Dr. Mwakyembe ambao wanaona mmoja kati yao ndio anafaa kuwa mgombea urais 2015.
Pia kitendo cha Mpendazoe kuwaumbua Dr Mwakyembe, Sitta na Nape kuwa ni miongoni mwa waanzilishi wa CCJ kimewapunguzia sana umaarufu ndani ya chama, huku Profesa akiwa hajapata msukosuko wowote wa kisiasa.
Hata hivyo tofauti na Profesa, Dr. Mwakyembe anauzika kwa urahisi na hata chama cha wazee wa kuandamana wanamkubali sana Dr. Mwakyembe tofauti na Profesa ambaye hakubaliki kabisa hata na CUF au NCCR Mageuzi.
.
Hakuna anayefaa kuwa raisi hapo
Mwandosya ni Mgonjwa jamani lol.....Mwakyembe inatakiwa ajivue gamba hatutaki raisi fisadi, huyu ana ile scandal ya posho mara 3. Wapishe mwingine atakaye kuwa na uchungu na nchi.
Ntambaswala,Kuelekea uchaguzi kwa 2015, habari za kuaminika kutoka vyanzo visivyopenda kujulikana zinadai kuwa hawa jamaa sasa hivi hawaivi chungu kimoja. Ingawa mwaka 2005 walikuwa pamoja, inaaminika kuwa sasa kila mtu yuko kivyake hasa kwa vile Dr. Mwakyembe naye ni malighafi ya urais
Pia inaaminika sasa hivi JK anaelewana vizuri na Profesa Mwandosya kwani aliyekuwa hasa anawatenganisha kabla( ukiacha ugomvi wao wa zamani) ni Edward Lowasa ambaye inasemekana anaelekea kumalizwa nguvu zake ndani ya CCM na serikali.
Kitendo cha Profesa kuwa karibu na JK kinaonyesha kuwa angalau sasa Profesa anaweza kuwa na sapoti fulani toka kwa JK kama ataamua kugombea. Kitendo hicho hakijawafurahisha Sitta na Dr. Mwakyembe ambao wanaona mmoja kati yao ndio anafaa kuwa mgombea urais 2015.
Pia kitendo cha Mpendazoe kuwaumbua Dr Mwakyembe, Sitta na Nape kuwa ni miongoni mwa waanzilishi wa CCJ kimewapunguzia sana umaarufu ndani ya chama, huku Profesa akiwa hajapata msukosuko wowote wa kisiasa.
Hata hivyo tofauti na Profesa, Dr. Mwakyembe anauzika kwa urahisi na hata chama cha wazee wa kuandamana wanamkubali sana Dr. Mwakyembe tofauti na Profesa ambaye hakubaliki kabisa hata na CUF au NCCR Mageuzi.
Nani mwenye uchungu na nchi ndani ya CCM ??
Ntambaswala,
Kwa maoni yangu, hizi ni siasa za Mbeya tuu, hakuna ubaya kuwa na 'wishfull thinking' hata kama ni empty hopes. Hebu mfikirie JK na umaarufu aliokuwa nao 2005 na jinsi alivyoshinda kwa kishindo kwa over 80%, halafu fikiria kilichompata JK kwenye uchaguzi wa 2010 na ujio wa Dr. Slaa kwenye mbio hizo, JK licha ya kuwa ni sitting president, akigombea kiti alichokikalia with all the support ya presidential institution, halafu CCM ndio chama tawala, ukijumlisha mbinu zote walizotumia, safi na chafu, plus support ya Tume pendeleo ya uchaguzi kuwasaidia, bado ushindi wa JK ulipururuka mpaka 40%!, hivyo mgombea wa CCM wa 2015, lazima awe ni mtu atakayeweza kumkabili Dr. Slaa, kitu ambacho si Prof. Mwandosya, wala Dr. Mwakiembe ana fit, unless otherwise kama CCM kupitia state machinery yake, watafanikiwa kum contain Dr. Slaa before 2015!.
Nashauri wale washabiki wa siasa za Mbeya, kwenye urais, bora msahau, the sooner the better, ili msijeishia kujihuzunikia bure.
Nakumbushia kwa msisitizo, kuna makabila fulani, uraisi ni BIG NO!

Nani amekudanganya?kaka hayo ni majungu tu badili mada iwe nani anafaa kuwa rais kati ya mwakyembe na mwandosya sio hawapikiki chungu kimoja, EL is the president of 2015 or membe kama hutaki jinyonge
Mwandosya afya mgogoro, mwombe kwanza arudi kabla hujamwombea awepo 2015Kuelekea uchaguzi kwa 2015, habari za kuaminika kutoka vyanzo visivyopenda kujulikana zinadai kuwa hawa jamaa sasa hivi hawaivi chungu kimoja. Ingawa mwaka 2005 walikuwa pamoja, inaaminika kuwa sasa kila mtu yuko kivyake hasa kwa vile Dr. Mwakyembe naye ni malighafi ya uraisPia inaaminika sasa hivi JK anaelewana vizuri na Profesa Mwandosya kwani aliyekuwa hasa anawatenganisha kabla( ukiacha ugomvi wao wa zamani) ni Edward Lowasa ambaye inasemekana anaelekea kumalizwa nguvu zake ndani ya CCM na serikali.Kitendo cha Profesa kuwa karibu na JK kinaonyesha kuwa angalau sasa Profesa anaweza kuwa na sapoti fulani toka kwa JK kama ataamua kugombea. Kitendo hicho hakijawafurahisha Sitta na Dr. Mwakyembe ambao wanaona mmoja kati yao ndio anafaa kuwa mgombea urais 2015.Pia kitendo cha Mpendazoe kuwaumbua Dr Mwakyembe, Sitta na Nape kuwa ni miongoni mwa waanzilishi wa CCJ kimewapunguzia sana umaarufu ndani ya chama, huku Profesa akiwa hajapata msukosuko wowote wa kisiasa. Hata hivyo tofauti na Profesa, Dr. Mwakyembe anauzika kwa urahisi na hata chama cha wazee wa kuandamana wanamkubali sana Dr. Mwakyembe tofauti na Profesa ambaye hakubaliki kabisa hata na CUF au NCCR Mageuzi..
Nani kajaribu kuwapika?
You've spoken well ndugu, hii nchi imekuwa na watu ambao ni obsessed na uongozi. Hata mwaka haujaisha tangu uchaguzi uliopita, sisi tunawaza rais ajae.Imefikia mahali leo tunajadili uraisi wa 2015 wakati tuna changamoto nyingi namna hii?Shame on us!