Profesa Kitila Mkumbo: Kuwekeza sio mpaka uwe tajiri

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amewataka Watanzania kuondoa dhana kwamba uwekezaji ni wa watu wenye kipato kikubwa au wageni pekee, akisisitiza kuwa kila mmoja ana nafasi ya kuwekeza ndani ya nchi.

Akizungumza mkoani Dar es Salaam siku ya Jumanne wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya uwekezaji katika Maeneo Maalumu ya Kiuchumi (Special Economic Zones – SEZs), Profesa Mkumbo amesema serikali imeweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa ndani kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji na biashara. Hafla hiyo imeandaliwa na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA).

Hakika
 
Back
Top Bottom