mwanatanganyika
Member
- Dec 10, 2011
- 7
- 1
True mkuu mwenyewa fan wake ila hapa big noWadau wa muziki maarufu kama Bongo Fleva, mmesikia wimbo mpya wa Prof. J? Unaitwa KamiliGado.
Nahisi Profesa Jay ameanza 'kuzeeka' maana huo wimbo haudhihirishi 'uprofesa' wake. Ameamua kuimba, yeah, autotune and all that but melody ya wimbo ni ya kawaida sana. Mistari pia hain lolote jipya given that anarap kuhusu Mapenzi (atleast angeonesha uniqueness and creativity in rapping about love).
Kwasababu anajua wimbo wake ni mbovu na hivyo unahitaji promo ya ziada, ameamua kuufungulia website (mara ya kwanza kuona wimbo unafunguliwa website) www.kamiligado.com ilhali yeye kama msanii hana website ya kumtambulisha!
The only reason why his song is getting airplay, ni 'kulinda heshima'!
Ushauri wa bure: Nunua mashairi makali ama 'tundika daluga'!
Huyu jamaa prof j simpendi kabisa,,,,,,nyimbo zake zinaboa.........hata loon alivyokuja bongo alimponda sana.....
Sugu ndo mwenyewe
angekomaa na style ile watu waliyompendea nayo angekuwa mmoja ya wanaharakati wakubwa bongo..lakini hii ya msanii mkubwa kama prof. jize kuwaiga akina diamond..yaani anatamani awe kama wao, inakera sana!!!! sifa kuu ya msanii wa hip hop ni msimamo! kila Msanii wa Hip HOP anawaza kuja kuwa C.E.O wa kamapuni flani mbeleni...lakini Jay Ukimwambia hata aandae Tamasha la watoto kuonyesha vipaji vyao Hajui A,B,C....IKOJE...Kachelewa ila bado ana nafasi ya kufanya kitu ila wakati wa kufanya Muziki hivi bila kufanuya Harakati za kujikomboa kama msanii umeshapita!!!!!
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.. Prof.. Amebadilika kwenda sambamba na soko linavyoenda.. Kaja poa.. Mbona Snoop Dogg' anabadilika anaimba, anatumia auto.. tune.. Tumpe credit hapa..
Prof Jay kasanda hana jipya wimbo wa mwisho mkali ni Hapo vipi? Hapo sawa 2009 baaaasiiii
Huyu jamaa prof j simpendi kabisa,,,,,,nyimbo zake zinaboa.........hata loon alivyokuja bongo alimponda sana.....
Sugu ndo mwenyewe
Tunapimaje mafanikio yetu? Kufanya kile ulichofanya jana ama zaidi ya kile cha jana? Kama anafanya wimbo wa mapenzi ambao kiwango chake kipo chini ya Niamini maana yake ni rahisi sana = KAISHIWA!
grand hater.
Profesa kaishiwa tukisema ukweri,labda kama ni kumuonea huruma...amefikia levo anawakopi kina Godzila na Diamond kubana pua!
Sidhani kama kuna haja ya kulalamika juu ya wingi wa mashairi ya mapenzi. Binadamu tumeumbwa kupenda na siku zote ni mapenzi ndiyo yanayokimbiza ulimwengu, utake usitake. Ulitaka waimbe juu ya CCM na CHADEMA?
Tatizo lenu vigeu geu...Watatoa kali mtarudi kuwasifu humu humu jamvini...Kikubwa tu ni kwamba huwezi kum-judge mtu kwa wimbo mmoja tu, hata studies za evaluation hazielekezi hivyo ndugu zangu. It take a great deal of time to conclude whether someone is finished or not.
Great thinkers mnaniangusha...You are coming up with very cheap reasoning, light brains and corrupted minds.....Hii nchi itakwenda kweli jamani kama mnaojiita great thinkers mko hivi?
Personal grudges should not be entertained in this forum......They are not good indices of great thinking at all.
hapana bwana huo ni mtazamo wako ila mm namwona jay bdo ni mkali na ule wimbo ni mkali. Mbona busta kabadilka bwana mambo yanabadilika ndugu tua mzigo wa mwibaWadau wa muziki maarufu kama Bongo Fleva, mmesikia wimbo mpya wa Prof. J? Unaitwa KamiliGado.
Nahisi Profesa Jay ameanza 'kuzeeka' maana huo wimbo haudhihirishi 'uprofesa' wake. Ameamua kuimba, yeah, autotune and all that but melody ya wimbo ni ya kawaida sana. Mistari pia hain lolote jipya given that anarap kuhusu Mapenzi (atleast angeonesha uniqueness and creativity in rapping about love).
Kwasababu anajua wimbo wake ni mbovu na hivyo unahitaji promo ya ziada, ameamua kuufungulia website (mara ya kwanza kuona wimbo unafunguliwa website) www.kamiligado.com ilhali yeye kama msanii hana website ya kumtambulisha!
The only reason why his song is getting airplay, ni 'kulinda heshima'!
Ushauri wa bure: Nunua mashairi makali ama 'tundika daluga'!
hapana bwana huo ni mtazamo wako ila mm namwona jay bdo ni mkali na ule wimbo ni mkali. Mbona busta kabadilka bwana mambo yanabadilika ndugu tua mzigo wa mwiba