Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
Leo nimekabidhiwa BARCODE yangu na shirika la GS1 TANZANIA , Hii itaniwezesha kuweza kutanua zaidi wigo wa soko la Muziki wangu na kuwafikia mashabiki wangu sehemu mbali mbali duniani na Quality ya juu zaidi, kwa wale wote waliokuwa wakiniulizia watapataje muziki wangu wa zamani na wa sasa tena kwa kiwango cha juu kabisa kaeni mkao wa kula....MUNGU AWABARIKI SANA!!
Shukrani sana kwa timu nzima ya GS1 TANZANIA kwa kuweza kunikabidhi BARCODE yangu Leo.....MAPAMBANO bado YANAENDELEA!!
source https://www.facebook.com/ProfesaJay