We ushaona huyo mleta uzi analeta vifo vya malaria au ajali humu, yeye kila kifo anachokuja kutangaza humu anakihusisha na corona. Hujaona hapo anasema hicho kifo ni kutokana na kucheleweshwa kwa chanjo Tanzania?