Profesa J atikisa Mikumi


Uko sahihi

Kwa professor J, wanajifunza hana matusi
 
Wewe jamaa nilikuaga nakuona Kama Ni mtu mwenye upeo mkubwa na mwenye akili,kumbe huwa siko sahihi.kumbe na wewe Ni sawa na LB7

Nakusaidiaje sasa kama unashindwa kuelewa utani na ukweli???😂😂😂 Sema imeuma hayo mengine yako

LB7? Weka LB0

Happy?

Una kazi nzito ya "kuona watu"

Who cares with all these fake IDs

Ulianzaje mahaba ha kuniona mimi kivile?

Stupid
 
Asante kwa kunitukana.nadhani wasomaji humu wataendelea kuona Aina ya michango yako.
 
Sasa hao watoto ni wapiga kura?mbona mnaaminisha watu kitu ambacho kinaonekana kabisa sio. Wingi wa watu sio kukubälika mkuu wengine wameenda kushaangaa tuu
Wingi wa watu ukiwa upande fulani wanabatizwa kuwa wapiga kura. Laki wingi ukiwa upande mwingine hao siyo wapiga kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…