Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,299
- 283,255
View attachment 1376817View attachment 1376818View attachment 1376820
Hapa ni kwenye Mkutano wa hadhara kata ya Tindiga
hoja yako ya kijinga kama hii unataka nikusaidieje ?Ukiacha hao waliokaa hao wengine waliosimama nyuma mbona kama watoto tena hata la 7 hawajafika
Umati huu ni ishara tosha ya kukubalika kwa mbunge. Picha kama hizi hatukuziona kwa mikutano mitano ya Mh Mbowe jimboni kwakeView attachment 1376817View attachment 1376818View attachment 1376820
Hapa ni kwenye Mkutano wa hadhara kata ya Tindiga
Hao watoto hawawezi kupiga kura . sanasana wamekuja kumshangaa msanii aliyeimba zari la mentalihoja yako ya kijinga kama hii unataka nikusaidieje ?
Huyo J anakubalika tofauti na Mwamba wa akina sabaya!View attachment 1376817View attachment 1376818View attachment 1376820
Hapa ni kwenye Mkutano wa hadhara kata ya Tindiga
Subiri moto kudadeki ! mtakodisha sana wahuni lakini mwisho wa siku wote wataolewaHuyo J anakubalika tofauti na Mwamba wa akina sabaya!
Mtu asiyekubalika inawezekanaje kumtumia mamluki wanaolindwa na OCD ?Professor J anakubalika zaidi kwake, kuliko mbowe kwa hai
Mkuu acha dharau kwa sisi WaluguruUkiacha hao waliokaa hao wengine waliosimama nyuma mbona kama watoto tena hata la 7 hawajafika
Nasikia jamaa kateremshwa huko jimboni kwake, wamemchoka.Huyo J anakubalika tofauti na Mwamba wa akina sabaya!
Hakika hayo mashetani kuna siku watatuwachia nchi yetu huruMfuasi wa shetani wa kijani akiona hivi anatamani kuhama nchi
Sasa chama chakavu wanakazi ya kujigawa nchi nzima kupambana na Chadema na hapa kampeni hazijaanza
Ukiacha hao waliokaa hao wengine waliosimama nyuma mbona kama watoto tena hata la 7 hawajafika
Umati huu ni ishara tosha ya kukubalika kwa mbunge. Picha kama hizi hatukuziona kwa mikutano mitano ya Mh Mbowe jimboni kwake
Hao watoto hawawezi kupiga kura . sanasana wamekuja kumshangaa msanii aliyeimba zari la mentali
Professor J anakubalika zaidi kwake, kuliko mbowe kwa hai