Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,551
- 47,206
Profesa nguli wa siasa Marekani ambaye ametabiri kwa usahihi ushindi wa marais wote wa marekani toka mwaka 1984; na ambaye pia alitabiri ushindi wa Trump, profesa Litchman amekuja na utabiri wake tena ila mara hii amekuja na habari za kuondolewa madarakani kwa bwana Trump kabla ya kumaliza muhula wake wa madaraka.
Professa Litchman amekuja na utabiri huo kwa kuzingatia shinikizo litakalotokana na wananchi kutokana na mwenendo usioridhisha wa utendaji wake.
Ingawa Chama cha Bw. Trump ndicho kinachoshika mabunge yote mawili ya senate na congress hiyo haitakuwa sababu ya kuzuia kuondolewa kwake madarakani.
ni jambo la kusubiri na kuona.
How the Professor Who Predicted Trump's Win is Making the Case for Impeachment