Wakuu,tupo ubungo plaza ukumbi wa classical,kuna philosophy conference.dr lwaitama,prof.baregu na wengine wapo hapa.kuna mada kuhusu mwl.nyerere na juu ya demokrasia za kiafrika.post election tz will also be a topic
BIG up mkuu, endelea kutujuza hapa jamvini. Pengine watazungumzia kwa undani uchaguzi wa 2010 ili NEC na CCM waumbuke juu ya uchakachuaji wa kura na matokeo ya uchaguzi