Mnajuaga kujifariji sana aisee!..Uungwana ni vitendo .
Nilishaandika jambo hili na nikasema laana hii ndio imemkosesha Urais Odinga
aisee!..
Yaani laana zenu ziache kufanya kazi nchini kwetu, ziende kwa majirani.
[emoji1787]
unafeli sasa.Uungwana ni vitendo .
Nilishaandika jambo hili na nikasema laana hii ndio imemkosesha Urais Odinga
Imefanya kazi huoni shetani kaoza?Mnajuaga kujifariji sana aisee!..
Yaani laana zenu ziache kufanya kazi nchini kwetu, ziende kwa majirani.
Kwa hiyo nanyi mna laana ya asili inayowazuia kushika dola? 🤣
Natamani ungeusoma uzi ule ambao niliuandika baada ya matokeo ya Uchaguzi wa kenya , sijui wameuweka jukwaa la Kimataifa au la KenyaMnajuaga kujifariji sana aisee!..
Yaani laana zenu ziache kufanya kazi nchini kwetu, ziende kwa majirani.
Kwa hiyo nanyi mna laana ya asili inayowazuia kushika dola? [emoji1787]
Kitendo cha Raila kuunga mkono Udikteta na unyama wa Magufuli kiliwaogopesha Wakenya , wakaona hawawezi kuchagua mateso , wakachagua BOTTOM UPHuyo mpumbavu Erythrocyte huwa anaongea pumba tu
Nafeli mimi au Odinga ?unafeli sasa.
Wote mnafeli wewe na mzee Omera.Nafeli mimi au Odinga ?
HahahahahahahaMnajuaga kujifariji sana aisee!..
Yaani laana zenu ziache kufanya kazi nchini kwetu, ziende kwa majirani.
Kwa hiyo nanyi mna laana ya asili inayowazuia kushika dola? 🤣
Mpuuzi kama wewe aliyempinga JPM ataandamwa na laana hata kwa kizazi chake choteKitendo cha Raila kuunga mkono Udikteta na unyama wa Magufuli kiliwaogopesha Wakenya , wakaona hawawezi kuchagua mateso , wakachagua BOTTOM UP
Chadema ilimtuma lowasa kusaidia kampeni za Uhuru Kenyata.Natamani ungeusoma uzi ule ambao niliuandika baada ya matokeo ya Uchaguzi wa kenya
Ameona dikteta kafa ndiyo anaomba msamaha, mbona hakuomba msamaha kipindi yupo hai?Wakili Mwanaharakati Prof. Wajackoya amesema ametumwa na Mzee Raila Odinga kuwaomba msamaha Chadema.
Mtakumbuka Raila Odinga alikuwa rafiki mkubwa wa Chadema, lakini urafiki huo uliingia mushkel wakati wa utawala wa awamu ya 5.
Mzee Raila Odinga alifumba macho na masikio wakati rafiki zake wa Chadema wakipita ktk bonde la uvuli wa mauti wakati wa utawala wa Jpm.
Msikilize Prof. Wajackoya akiwasilisha ujumbe wa Mzee Raila kuwaomba msamaha wana-Chadema ktk mkutano wa kumkaribisha nyumbani Mh. Godbless Lema.
www.youtube.com/watch?=grTyZZUCMLY
Ameona dikteta kafa ndiyo anaomba msamaha, mbona hakuomba msamaha kipindi yupo hai?
Sure..wengi walishakata tamaa kwa kuamini angekuwa raisi wa maisha.
Kwi Kwi KwiMpuuzi kama wewe aliyempinga JPM ataandamwa na laana hata kwa kizazi chake chote
Aisee vp? kwani huoni laana ilivyotafuna na inavyoendelea kutafuta. Jini mkuu yuko mavumbini chattle, Vijukuu vyake saa baya yuko wanamkula mgongo lupango, Makonda the hermaphrodite anajificha kama dig dig. Bashiru maji ya mtungi mtu aliyewakuwa malyamungu wa muuaji, pole pole etc Acha Mungu aitwe Mungu bhana laana imejiexport kenya !!Mnajuaga kujifariji sana aisee!..
Yaani laana zenu ziache kufanya kazi nchini kwetu, ziende kwa majirani.
Kwa hiyo nanyi mna laana ya asili inayowazuia kushika dola? 🤣
Laana zetu zilitwaa uhai wa Jiwe, umesahau hili ?Mnajuaga kujifariji sana aisee!..
Yaani laana zenu ziache kufanya kazi nchini kwetu, ziende kwa majirani.
Kwa hiyo nanyi mna laana ya asili inayowazuia kushika dola? 🤣