Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Feb 27, 2015 #2 Waaarabu wa unguja
miss gisenyi JF-Expert Member Joined Feb 21, 2015 Posts 699 Reaction score 500 Feb 27, 2015 #3 mshana jr said: Waaarabu wa unguja Click to expand... Ila chenge kazidii yeye hela yake ya mboga bajet ya wizara
mshana jr said: Waaarabu wa unguja Click to expand... Ila chenge kazidii yeye hela yake ya mboga bajet ya wizara
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Feb 27, 2015 #4 miss gisenyi said: Ila chenge kazidii yeye hela yake ya mboga bajet ya wizara Click to expand... Huyu aliongea kiutu uzima akimaanisha jambo kubwa zaidi! Si unaijua story ya stanbic?
miss gisenyi said: Ila chenge kazidii yeye hela yake ya mboga bajet ya wizara Click to expand... Huyu aliongea kiutu uzima akimaanisha jambo kubwa zaidi! Si unaijua story ya stanbic?
Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Feb 27, 2015 #5 Prof. Wanamuonea, change zaidi
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Feb 27, 2015 #6 billion 1.6 +1.6 = ¿¿¿
Aljazera JF-Expert Member Joined Feb 11, 2015 Posts 637 Reaction score 224 Feb 27, 2015 #7 Hakuna zaidi ya mwenzie wote ni wezi tu.
E Engeneer Emma Member Joined Feb 25, 2015 Posts 84 Reaction score 21 Feb 27, 2015 #8 Hapo kuna mwizi mzoefu na mwizi mgeni!!
BJBM JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 664 Reaction score 606 Feb 27, 2015 #9 Huyo Ngosha yeye unamkuta kwenye dili kubwa kubwa tu.
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Feb 27, 2015 #10 mshana jr said: Waaarabu wa unguja Click to expand... Ni kweli kabisa na wala hujakosea ni sawa sawa na waarabu wa pemba hujuwana kwa vilemba
mshana jr said: Waaarabu wa unguja Click to expand... Ni kweli kabisa na wala hujakosea ni sawa sawa na waarabu wa pemba hujuwana kwa vilemba
mshamba mchangamfu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 338 Reaction score 91 Feb 27, 2015 #11 Ngosha anacheza na taaluma yake kwenye dili zake