kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Prof,Drs ni hatari kwa ustawi wa nchi hii!!
Dah!!! Hakuna mtu niliekuwa namuona kama Nyerere kama huyu bwana. Mawazo na maisha yake yalifanana kama ya Nyerere,hata yeye alimpenda na kumkubali Nyerere. Ila amepoteza umaarufu. Tunataka katiba mpya na yeyote atakaesimama mbele ya njia tupitayo atapotezwa ile mbaya. Tupishe tupite,tumechoka na ujinga wa NYINYI EM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
huyu jamaa aliachwa pembeni kwenye mchakato wa katiba kwa sababu maalum ya kushambukia kutokea nje na kuandaa rasimu mbadala inayotakiwa na viongozi wa ccm kimsingi huyu ndie injinia wa uhalifu wa katiba.
utasikia keshapewa ubarozi wa india
utasikia keshapewa ubarozi wa india
tena ule wa nyumba kumi pale mtaani kwake
Ni jana tu nilikuwa najiuliza kulikoni huyu mhindi si kawaida yake kukaacha kimya kiasi hiki........au aibu aliyovuna pale alipotetea serikali 2 ndio imemuweka kifungoni?