Tangu alipobadili mwelekeo na kuanza kuiunga CCM katika sera zake za serikali mbili badala ya tatu alizokuwa akihubiri Prof. Shivji amepotea kabisa katika siasa za nchi hii!
Ni jana tu nilikuwa najiuliza kulikoni huyu mhindi si kawaida yake kukaacha kimya kiasi hiki........au aibu aliyovuna pale alipotetea serikali 2 ndio imemuweka kifungoni?
tangu alipobadili mwelekeo na kuanza kuiunga ccm katika sera zake za serikali mbili badala ya tatu alizokuwa akihubiri prof. Shivji amepotea kabisa katika siasa za nchi hii!
ni jana tu nilikuwa najiuliza kulikoni huyu mhindi si kawaida yake kukaacha kimya kiasi hiki........au aibu aliyovuna pale alipotetea serikali 2 ndio imemuweka kifungoni?
Wapemba tulimshusha na tunawasiwasi na elimu yake maana huku pemba hata ukimuuliza kichaa kuhusu mungano hawez kusema kama shevj pia twajiuliza labda kwa sabab ye aishi tanganyika