Du!... Kwanza hujanitendea haki kwa kuniita zumbukuku wakati bandiko langu lina lengo fikirishi. Mtu ana miaka 60 na kinga ya mwili kwa umri huo huanza kupungua, chanjo anayopewa itamlinda vipi wakati mwili wake umepunguza kazi ya kujilinda?. Naamini una uwezo wa kutafakari kwa kina kauli niliyoitoa na kujaijadili badala ya kurusha matusi humu na kuwaabudu wazungu ambao wanafanya kile unachoweza kufanya.
CC Fuso
Ahaaah wapi! Hajui zile corridors zetu. Nothing personal! Ila kuna watu wana degree zao za SAUT na MBA za Mzumbe Vodavasta, halafu kuna vitu vingine tuna-set the bar too high, hawa watu hawako na sisi.
Bams, pia naomba hawa Wazee wetu wawe wanatuasa na kutulisha maneno ya Hekima na Busara, pindi wapatapo wasaa wa kufanya hivyo! Litakuwa ni jambo la Kheri na Baraka kwao kutoka kwa Mwenyezi Mungu!Sasa ni wakati wanaJF kufahamu umri wa baadhibya wakongwe.
Nitamshangaa siku moja nikimsikia mtu anatoa maneno ya hovyo, yaliyokosa hekima na staha kwa mze wwtu Jo Tsoxo.
Sote tumejua, huyu ni miongoni mwa wazee wetu hapa JF. Tufurahie na tupende kupata hekima zao kutokana na uzoefu wao mkubwa wa maisha.
Poleni sana Mkuu.Kuna baadhi ya watu, japo tunafurahia kutumia ID zilizofichika, lakini unatamani, tufahamiane. Wewe ni Kaka yangu. Mungu akujalie afya njema na maisha marefu yenye furaha, na amani tele.
Nina Kaka yangu mkubwa, sasa yupo 90, bado ana akili na hekima yake timilifu, alikuwa anaendesha gari, lakini tumemshauri tangu mwakajuzi asiendeshe, lakini bado anafuata ratiba yake ya tangu ujana ya kufanya mazoezi kila siku.
Kaka yangu mwingine ana 80, bado yupo very energetic. Alipata Covid 19 lakini akapona bila kupata complication yoyote. Hii Covid, inategemea sana nna ilivyokujia. Wakati Kaka yangu akipona Covid bila ya kuzidiwa, wala kulala hata siku moja kutokana na hayo mararhi, mtoto wa kakangu mwingine, mwenye 38, aliugua na kupata complication kubwa ya kupumua, akapoteza maisha. Kila Covid ikitamkwa, namkumbuka huyu mtoto wetu. Niishie hapa maana molyo wangu ni mzito sana. Namwba Mungu amjalie pumziko la milele maana jitihada na moyo wake wa kutaka kuwaokoa wengine, huenda ilichangie kuondoka kwake wakati huu.
Ndugu zangu, kumbe wengi mna'testimony' kubwa kuhusiana na hili janga la Corona![emoji848] Kwakweli inatubidi kuchukua tahadhari kubwa sana na kujikinga dhidi ya ugonjwa huu! Poleni sana kwa wote mliokabiliana nao moja kwa moja au kufiwa na ndugu zetu![emoji19]Pole sana ndugu yangu. Corona ina manifestations nyingi and course of infection. Nimeumwa corona february to March, for a month. I was very devastated na corona. Sikulazwa lkn ni kwa vile nilkuwa na usaidizi wa daktari nyumbani, wife and daughter. Niliwahi treatment maana hao mke na mtoto waliona dalili wakasema hizi ni za wagonjwa wetu, una corona. Nikaanza matibabu. Iliniendesha lkn nashukuru nilipona. Homa ilikuwa inapanda mpaka 40 celcius. Terrible. Juz nilikuwa regency na kaka yangu, It was also terrible. Thank God amepona!
Basi pole sana kumpoteza mtoto wenu.
Prof Kadete ni yupi au Prof wa niniProf Kadete ananiuma saana...Tabora imetoa wasomi wengi ila mkoa maendeleo sifuri.
Poleni wafiwa, Poleni wana taaluma...academicians/scholars alinifundisha Chemistry miaka hiyo.......99% ya vijana wa humu JF hamjazaliwa
Silence is golden if you have nothing to sayElimu yako kwenye chemistry au ujenzi wa madaraja upoje.
Kuna Yule mbobezi wa uchumi US aliondoka kazini akiwa na miaka mingapi ?
Au nyinyi ndio ma lecturer mnaotoa degree za nyumba za wageni au karatasi za course work zinakuwa ni "godoro"
Watu wana msongo saną wa mawazo ndugu yangu. Wakati mwengine ni kuwapuuza tu!Kwani ukiandikiwa Rest In Peace, basi wewe ni mzungu?
Una ushahidi?Alikuwa bonge la tiss pia
Haiwezekani kijana aliyegraduate juzi kujaza nafasi ya Profesa mbobezi.basi alitakiwa awe ameshastaafu
kazi za mikataba zinawaua maana hawapumziki
graduates wamejaa mitaani, kwa nini wazee wapewe mikataba ya maisha ?????
angalau kuna kijana sasa atapata ajira
Not so fast!So sad. On 20/12/2020 my classmate at Old Moshi sec 1970/71 form iv/vi passed away - Prof. Bakari Lembariti - MUHAS.
Leo college mate UDSM Prof. Mayunga Nkunya 1972 - 1975 tuliyekuwa naye hapo mlimani.
So sad. Najiandaa kuagana nanyi wana jf. Hii ndiyo reality.
Kitu gani wewe?Duu hii kitu sio
Nani kasema graduates maana yake ni vijana walio graduate juzi ???Haiwezekani kijana aliyegraduate juzi kujaza nafasi ya Profesa mbobezi.
Thats a fact of life.
Kwani lazima uajiriwe?Nani kasema graduates maana yake ni vijana walio graduate juzi ???
Watu wanatembea na ma vyeti yao mtaani miaka kibao kwa sababu serikali inatoa ajira za mikataba kwa wazee wanaotakiwa kukaa benchi!
Kwa nini ?
What was so special about Mzee Mfugale’s experties mpaka afie kazini kwa ajira za mkataba?
MFUGALE BRIDGE
View attachment 1861780
Kwani lazima uajiriwe?
Huo ni ulemavu wa kufikiri.
Kinga dhidi ya COVID-19 bado iko kwenye hatua za awali za utafiti na hakuna nchi yoyote iliyofanikiwa kuwa na chanjo ya uhakika iwe huko uchina au hata ubeberuni...Umesema wazee kinga zao za mwili hupungua.
..kama hoja hiyo ni ya kweli basi wao ndio wanaotakiwa kupewa chanjo kwanza.
..vijana ambao kwa kawaida kinga za miili yao ziko juu wao hawana ulazima wa kupewa chanjo.
..hata bima ya afya kijana anaweza asikate, lakini mzee ni busara zaidi akawa nayo kutokana na kushambuliwa mara kwa mara na maradhi.
..kama hatuamini chanjo za mabeberu, na maadui zetu wa kizungu, kuna chanjo zilizotengenezwa na ndugu zetu wa UCHINA.
..binafsi nasisitiza watu wajikinge kwa kuvaa BARAKOA na kuepuka kushikana mikono. Hili nadhani kila Mtanzania anaweza kulizingatia.