Sidhani unajua moderator wanatazama vitu vingi sana,kitu cha kwanza ni nyuzi zilizoenda shule,matusi hakuna,uchawa ndio huwezi kupata kabisa u Platinum.
Kuna yule chawa mkuu Lucas Mwashambwa atasubiri sana.

Mkuu andaa kisherehe flani si unaona mzee mwenzako Mohamed Said hadi leo ni Expert member... Tena alijiunga kabla yako ye ni Nov 2, we ni Dec 2, mwezi mmoja kamili.....
Prof wa kitu gani boss? Hatuwezi kudebate na mtu anayejiita Prof ambapo hatujui ni Profesa wa kitu gani? Kuwa Prof haitoshi kupatiwa heshima unayoomba.
Mshamba sana haujui kwamba watu wana IQ kuliko wewe ila waliona wasiusumbue ubongo wao Hadi kuwa profesa ,na WAtu hao wengi wana masters bachelor degree first class acha ushamba