Hahaha hahaha lugha ya English nooomaSVOCA analysis si mchezo,
Mie juzi nilimkuta dogo anasoma nikamwomba syllabus bahati nzuri alikuwa nayo, nilivyoicheki kusema kweli nilisikitika sana. Pale hakuna kitu wanafundishwa. Phonology yenyewe imechakachuliwa, ukirudi huku kila kitu kimeharibiwa. Nikajiuliza, hivi haya mambo kuondolewa yalikosea wapi, mbona sie tuling'ang'ana nayo hivyo hivyo na leo walau inatusaidia kusimama. Hawa wa leo watasimamaje?Naiunga mkono hoja hii kwa akili yangu yote, moyo wangu wote na uwezo wangu wote. Syntax ndiyo msingi wa kiingereza. Pasipo hiyo, hakuna kiingereza. Wahusika msikieni Mkuu Rweye
Inauma sana Mkuu hasa kwetu wana-HGL.Mie juzi nilimkuta dogo anasoma nikamwomba syllabus bahati nzuri alikuwa nayo, nilivyoicheki kusema kweli nilisikitika sana. Pale hakuna kitu wanafundishwa. Phonology yenyewe imechakachuliwa, ukirudi huku kila kitu kimeharibiwa. Nikajiuliza, hivi haya mambo kuondolewa yalikosea wapi, mbona sie tuling'ang'ana nayo hivyo hivyo na leo walau inatusaidia kusimama. Hawa wa leo watasimamaje?
Very sad!
Inabeba nini?na mimi nipate shule hapa.We isikie tu hivyo hivyo mtu wangu. Kwa kifupi ni roho ya lugha ya kiingereza huko shuleni.
= Sheria ya Kiingereza i.e The rules that govern a Language.
Umeandika utumbo gan apo?Wewe una uhakika gani ni hivyo ulivyo? Any way, ni kwa ajiri ya elimu na ndo maana kipo kitu kinaitwa Elimu na Maarifa (knowledge).