vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Mbona viwango vya alama kidato cha NNE vimebaki vile vile ?Naunga mkono kupandisha viwango vya kufaulu, haviwezi kubaki kama zamani ilhali sasa hivi resource za kusoma ni nyingi na mazingira ya kusoma yamebadilika. Hapo kwenye hesabu Prof simuungi mkono
Fikir nje ya boxHuyu atakuwa wa Baraza kaja na bifu zao.
Elimu ya Tanzania inavitu vingi ambavyo waliosoma mitahala ya nje kama uchina ,ulaya na marekani vitu tunavyodoma sekondari wao wanavisoma vyuo vikuu mwaka wa kwanza na wapili lkn pamoja na hayo chukulia mfano Ufaransa wanatumia grading system ya 0 to 20 kutafuta grade lkn wanalinhanisha na nchi zingine ulaya kwa 70-80 kama Atanzania ina majinizi wengi sana mkuu na.wanaojua sana sema tu elimu yetu mbovu mbovu
A ya china inaanzia 91
A ya france inaanzia 90 na nchi zote zinazotumia mfumo wa france
A ya nchi za korea nasikia 95
tz 80 bado.ndogo sana.na.hii.itawapa wanafunz.wasome.kwa bidii
C waongeze isiwe 55 to 64 bali 65 to 75 afu B waipe 75 to 80 uone watu kama hawatasoma kwa juhudi
Mimi sioni tatizo hapa.Nianze kwakumpongeza waziri huyu kuteuliwa na mh Rais kuwa waziri wa wizara nyeti lakini nionyeshe masikitiko yangu nakuu mawili kwa maamuzi mabovu ya huyu profesa katika muelekeo wa elimu yetu hapa Tanzania.
1.Prof unaenda kuliua somo la hesabu kabisa mashuleni kwani kwa mujibu wa matokeo ya kidato cha nne2015 somo la hesabu halikupewa umuhim hivyo hakukuwa na adhabu yoyote(penalty) kwa mtu aliyepata alama F katika somo hilo na wala haikuathiri daraja la mtu huyo kama miaka ya nyuma kwa mazingira ya somo lenyewe taifa linakwenda kuwakosa wataalamu wa hisabati kwakua somo hilo halina mkazo tena
2.Kwa kitendo cha wizara kupitia baraza la mitihani kupandisha viwango vya ufaulu kwa kidato cha sita A kuanzia 80 badala ya 75 wakati hata hiyo 75 ilikuwa sio jambo la rahisi kupati.
Uzur wa mifumo kama ya China ina grading nyingi kuna A3.B3.C3Elimu ya Tanzania inavitu vingi ambavyo waliosoma mitahala ya nje kama uchina ,ulaya na marekani vitu tunavyodoma sekondari wao wanavisoma vyuo vikuu mwaka wa kwanza na wapili lkn pamoja na hayo chukulia mfano Ufaransa wanatumia grading system ya 0 to 20 kutafuta grade lkn wanalinhanisha na nchi zingine ulaya kwa 70-80 kama A
Binafsi nilishapita level hizo zaidi ya miaka 18 iliyopita ktk kiwango bora bila kuunga unga sema Mimi ni mdau wa elimuMimi sioni tatizo hapa.
Shida yako ni moja tu,unapenda kupanuliwa goli ili ufunge vizuri!
Kama leseni ya kuendesha gariUzur wa mifumo kama ya China ina grading nyingi kuna A3.B3.C3
Hesabu ina umuhim wa tofautiMasomo yote ni sawa penalt iondolewe hakuna somo bora kuliko jingine,
Kama wewe ni mdau wa Elimu alafu unatoa mawazo kama haya basi wewe ni Jipu!Binafsi nilishapita level hizo zaidi ya miaka 18 iliyopita ktk kiwango bora bila kuunga unga sema Mimi ni mdau wa elimu
Unaweza ukawa sahihi, je umepitia na muundo wao wa elimu uko vp. Huko nako pia wanasoma masomo 11 kama kwetu au wanaspecialize tangu wakiwa chini??tanzania ina majinizi wengi sana mkuu na.wanaojua sana sema tu elimu yetu mbovu mbovu
A ya china inaanzia 91
A ya france inaanzia 90 na nchi zote zinazotumia mfumo wa france
A ya nchi za korea nasikia 95
tz 80 bado.ndogo sana.na.hii.itawapa wanafunz.wasome.kwa bidii
C waongeze isiwe 55 to 64 bali 65 to 75 afu B waipe 75 to 80 uone watu kama hawatasoma kwa juhudi
Ungekuwa umefanya comparison analysis ya mifumo ya elimu na kilichomo ndani yake usingejibu hoja yangu kishabiki nakuomba ukajielimishe kwanza na mifumo ya nchi zingine na yaliyomo na uchukue elimu ya Tanzania uje hapa jf kuweka ulichopata sio just kuangalia grading za nchi zingine nenda mbali. ZaidKama wewe ni mdau wa Elimu alafu unatoa mawazo kama haya basi wewe ni Jipu!