Shule ya kiislam hutaki iwe na msikiti karibu? Wewe Konyo kweliIkiwa kweli ishu ni mtaala, Je Mtambani wao wanatumia mtaala UPI? Maana hawana viwanja vya michezo,sins hakika hata vyoo mahususi kwa ajili ya wanafunzi nadhani watakuwa wanachangiana na vile vya waumini, Msikiti upo karibu sana na madarasa Hivyo kuna mwingiliano mkubwa sana wa kimasomo jambo ambalo sio zuri kwenye ujifunzaji, WIZARA IHAKIKI UPYA VIBALI VYA USAJIRI KWA SHULE ZOTE.
isiwaingilie kwenye swala la ada, FEZA milioni saba(7,000,000) mbona hiyo ndogo tu wanalalamika njooni Kata huku maisha izzzeee tuWaweke ada hata milioni 50 kwa mwaka serikali isiwaingilie mzazi atakayeona hawezi ampeleke mtoto wake shule ya msingi Tandika.
miss chagga kwema mama.mawe maweeee
Anasema watu wafate ngazi lakini yeye alimpigia simu Rais badala ya Waziri wa Ardhi.
Uyu makonda ni wakupuuzwa.
Inawezekana definition ya hilo neo hapo kwenye bold tukawa nayo tofauti, kwangu mimi neon Imani lina maana hi (kidini) Ni bayana ya mambo yatarajiwayo na hakika ya mambo yasio onekana so kwa muktadha wa hiki tunacho kijadiri siwezi ndio au hapana but the truth is, tumesoma wote kwenye hilo andiko so tulipinge au tulikae hilo andiko la gazeti la Jamuhuri na barua za waziri/wizara kwenda kwenye hiyo shule.Ukitoka kumlea
Je wewe unaamini ni kweli dini inafundisha hivyo
Never heard of the religion that teaches sodomy"umesoma post kweli ?Maana wameadmit na pia kubadili mtaala.Sasa huoni kelele za wazazi zimesaidiaNothing involves running over there. We tend to create unnecessary story. The school has been existing for over forty years with so many children and now parents who went to the same school sending there. It is now normal in our society to fabricate stories and accusations. Never heard of the religion that teaches sodomy.
Wazazi si wajinga kiasi kile. Watu hupenda kuzua. By the way, there are so many schools that perform better than Al-Muntazir.
We should try to be very careful to preempt judgement. There is no a single statement acknowledging sodomy. Wao wamebadili mtaala. Hakuna sodomy or otherwise. It is probably power struggle between Shia and Sunni. Nothing more.Never heard of the religion that teaches sodomy"umesoma post kweli ?Maana wameadmit na pia kubadili mtaala.Sasa huoni kelele za wazazi zimesaidia
“Hawa wamiliki wa shule za Al-Muntazir tulilalamika kwa waziri kuwa wanafundisha watoto wetu katika mtaala kuwa ikiwa mkewe yupo kwenye hedhi, basi dini yao inaruhusu mume kumwingilia mkewe kinyume na maumbile. Waziri alishika mdomo, akabaki kinywa wazi.We should try to be very careful to preempt judgement. There is no a single statement acknowledging sodomy. Wao wamebadili mtaala. Hakuna sodomy or otherwise. It is probably power struggle between Shia and Sunni. Nothing more.