Prof. Ndalichako amvaa Makonda


Hizi ni njama na uongo. Sylubus ya dini haiko hivo ni uongo.na hawa wzee ni wazee wa chadema wala hawasomi hapo
 
Mafundisho haya ya kumuingilia mke kinyume cha maumbile wakati wa hedhi,yameandikwa katika kitabu kitakatifu,hadithi kutoka kwa maswahiba au maamuzi ya shule?wajuzi ebu tujuzeni
Hakuna mafundisho kama hayo katika Uislamu, labda kwa Mashia ktk vitabu vyao.

Katika Uislamu tunafunzwa kuwa si sahihi kumuingilia mwanamke akiwa ktk hedhi.

( 2:222 ) And they ask you about menstruation. Say, "It is harm, so keep away from wives during menstruation. And do not approach them until they are pure. And when they have purified themselves, then come to them from where Allah has ordained for you. Indeed, Allah loves those who are constantly repentant and loves those who purify themselves."
 
Hii ni imani ya dini gani? please, naomba kujua

Hio ni dini ya walio andika uongo huo. Uislam uko wazi kwenye mamno ya hedhi. Hakuna dini yoyote ilofundisha mambo ya hedhi. Uislam unasema wazi kuwa mwanamke akiwa na hedho anakatazwa kusali kufunga hata kusoma quran pamoja na kuingiliana wana ndoa yote imekatazwa.
Gazeti hili lina yumiwa na baadhi ya wakristo kuchafua na kuwagombanisha na waislam .
Hii mada ilianzishws na chadema. Wana matatizo bado ya chuki chuki.
Niliwahi kumuuliza mbunge wa cuf ambaye anaunda serikali ya ioinzani bungeni kuhusu jili akaniambia chadema wamepachika jicjo kipande cha hotuba hakikuwemo.
 
Hata mashia hakuna hicho kitu. Hii ni kampenidhidi ya uislam , kuna wayu wamemuandikia waziri. Lakini ukweli sio wazee wenye wayoto hapo. Ni watu maalum ambao wana lengo maalum
 
Hili mimi kidogo sijalielewa hasahasa kwa wazazi wanaolalamikia ukubwa wa ada.

Kwani ni lazima kupeleka mtoto wako hapo kama unaona uwezo wako hauruhusu?

Tuko kwenye soko huru. Kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake.

Mbona shule za serikali elimu ni bure? Kwa nini mzazi anayeona kuwa hapo kwake hawezi kumpeleka mtoto ktk shule hiyo kwa sbb ya gharama kubwa asimpeleke ktk shule za serikali ambako unakwenda na sare za shule tu?

Kwa kweli, mimi sioni sbb ya kuwepo kwa mgogoro huu kati ya wazazi na shule eti kwa sbb ya gharama kubwa kana kwamba shule hiyo pekee ndiyo inayotoza kiwango kikubwa cha ada wakati ziko nyingi tu!!

Kiukweli kwa ishu ya gharama, serikali haina sbb ya kuingilia so long as watu wanalipa na kupeleka watoto wao wasome. Labda kama kuna mambo mengine kama watoto kufundishwa kwa mtaala tofauti, kutoza faini wanaochelewa kulipa kwa wakati nk, hapo wazazi wana haki walalamike na uongozi wa shule ukishindwa kutatua basi serikali sharti iingilie. Hata hivyo kuna mambo mengine yanaweza kumalizika ktk vikao kama vile vya siku ya wazazi (parents' days) nk unless kama shule haiitishi vikao kama hivi!!

Mimi nasomesha mtoto wangu shule moja ya kikatoliki kule Mwanza. Ada na michango mingine kwa mwaka ni zaidi ya 2,500,000!!

Hakuna mzazi anayelalamika. Ukiona mzigo umekuzidi, unamchomoa mwanao kimya kimya unatafuta kwenye unafuu.

Lakini siku zote ni lazima tukumbuke kuwa.....always, cheap is expensive!!
 
shule ya Sec. Mtambani nayo inafuata mtaala gani? Wanafunzi hupumzika Alhamisi na ijumaa, kwao jumamosi na jumapili wanafunzi huenda shule kama kawaida
 
Ikiwa kweli ishu ni mtaala, Je Mtambani wao wanatumia mtaala UPI? Maana hawana viwanja vya michezo,sins hakika hata vyoo mahususi kwa ajili ya wanafunzi nadhani watakuwa wanachangiana na vile vya waumini, Msikiti upo karibu sana na madarasa Hivyo kuna mwingiliano mkubwa sana wa kimasomo jambo ambalo sio zuri kwenye ujifunzaji, WIZARA IHAKIKI UPYA VIBALI VYA USAJIRI KWA SHULE ZOTE.
 

Hakukua na haja ya ku copy thread yote. Ungeandika tu kama ulivyofanya ungeelewekaa wengine hatutumii computer ni simu so mnatupa shida sanaa.
Jioni njema pia samahani ikiwa utakwazika.
 
Hizi ni njama na uongo. Sylubus ya dini haiko hivo ni uongo.na hawa wzee ni wazee wa chadema wala hawasomi hapo
Usilete siasa zako kwenye mambo ya msingi ,Aliyeambiwa mitalaa ya kufundisha watoto kwamba mwanamke akiwa kwenye hedhi basi tigo ni suna ni Waziri Ndalichako

Hilo la chadema na ccm yenu mtajuana wenyewe
 
kwani wamelazimishwa kupeleka watoto kwenye hiyo shule, si wapeleke kayumbe ambao wana uwezo nako? hapo bongo kuna shule zinalipa hadi milioni kumi hadi ishirini hapo, hizo mbona hawalalamiki, au hao wazazi wapeleke watoto wao huko.
 
Kazi ipo , hapa kazi tuu
 
Dawa ni kumahisha watoto wenu... Mmelazimishwa? Mie wangu wanasoma kibangu primary
 
shule ya Sec. Mtambani nayo inafuata mtaala gani? Wanafunzi hupumzika Alhamisi na ijumaa, kwao jumamosi na jumapili wanafunzi huenda shule kama kawaida
Ile ni Shule ya kiislam, Ijumaa ni Siku ya ibada, Alhamis wanajiandaa kwa ajili ya Ijumaa.

Au unasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…