SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Mbunge Mteule Prof Ndakidemi ameahidi makubwa endapo atachaguliwa tena 2025-2030. Moja ya Ahadi Yake NI kujenga airport kubwa jimboni Moshi vijijini.
Aaaaah !!!Mbunge Mteule Prof Ndakidemi ameahidi makubwa endapo atachaguliwa tena 2025-2030. Moja ya Ahadi Yake NI kujenga airport kubwa jimboni Moshi vijijini.
Waongo hawa😄😄Mbunge Mteule Prof Ndakidemi ameahidi makubwa endapo atachaguliwa tena 2025-2030. Moja ya Ahadi Yake NI kujenga airport kubwa jimboni Moshi vijijini.
Walio jirani na Prof wamuwahishe Mirembe kabla mambo hayajaharibika zaidi!Mbunge Mteule Prof Ndakidemi ameahidi makubwa endapo atachaguliwa tena 2025-2030. Moja ya Ahadi Yake NI kujenga airport kubwa jimboni Moshi vijijini.
Ya Moshi mjini imewashinda sembuse hiyo ya migombaniMbunge Mteule Prof Ndakidemi ameahidi makubwa endapo atachaguliwa tena 2025-2030. Moja ya Ahadi Yake NI kujenga airport kubwa jimboni Moshi vijijini.
Anaenda kuijengea wapi? Moshi vijijini kuna tambarare ipi?Mbunge Mteule Prof Ndakidemi ameahidi makubwa endapo atachaguliwa tena 2025-2030. Moja ya Ahadi Yake NI kujenga airport kubwa jimboni Moshi vijijini.
Ndoo na nashangaa kama weweMoshi vijijini ni inachukua eneo lipi 🤔
Morris Makoi? Huy atakuwa kakake na Mareheu Aloyce Makoi? Sasa huyu Mh. huu uongo wa mchana kweupe wa nini jamani? Wachaga nao siku hizi wamekuwa ndezi wa kudanganywa tu?Hana sera huyo, arudi nyumbani akalelee wajukuuu, Mbunge ni Moris Makoi.
Kuanzia Kibosho Umbwe hadi Old MoshiMoshi vijijini ni inachukua eneo lipi 🤔
Aaaaaah kumbe,,, then kirua vunjo to mwika ndo Jimbo la vunjo ??Kuanzia Kibosho Umbwe hadi Old Moshi
Ndio vivyo MangiAaaaaah kumbe,,, then kirua vunjo to mwika ndo Jimbo la vunjo ??
Haina nouma mnamaNdio vivyo Mangi
💪Haina nouma mnama