mwaka 2005 alishika nafasi ya 3 katika waliogombea nafasi ya urais kupitia CCM yaani ndani ya ccm Kupitishwa kuwa mgombea urais, hakuwa na makundi au kundi au baada ya tukio lile kupita kundi lake halikuendelea. ameonesha hali ya upole kwa kias kikubwa. hana makuu, hana makundi, hana maneno n.k na hapa ndo najiuliza kwa nini asiwe yeye mgombea wa urais? hili ni swali chokozi kwa maana waje wadau wenye sababu za mmsingi za kumfanya au kutomfanya awe mgombea urais kwa ticket ya ccm.
Prof. Mark Mwandosya mbunge wa jimbo la Rungwe Mashariki na Waziri asiyekuwa na wizara maalum amesema kuwa hatogombea tena ubunge bali urais. Ni mwendelezo wa wimbi la watangaza nia linaloshika kasi.
Chanzo : Mtanzania gazeti la leo.
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.
Ambaye kwa akili yako unaona ni Mzima wa afya!!!Mwandosya mgonjwa, Rais ajae ni Lowasa
hivi wanaotengeneza ishu ni kina nani kama si watu? punguzeni kujikwezaHivi bado watanzania great thinkers wana mtindio wa ubongo wa kuacha ku discuss issues but peopole? Kwa hiyo unategemea kurushusha viwango vyetu vya akili kuanza kumjadili Mwandosya? he is too small katika habari za maisha yetu na nchi hii. Hayo jadili na CCM kwenye chama chenu sisi si wa kwenu mahali pekee tutakapokutana ni kwenye kura na tayari tunajua hatumchague huyo muajiri wako mpya. Can you imagine unalinganisha jambo serious kama uchaguzi wa Rais kwa kutumia maneno ya taarabu, kithen party na kumtoa mwali, nyie lazima mswage maana akili hakuna
Usiseme TUNA taka sema NINAtaka,Usiwasemee watu sema ya kwako, Mwandosya big up!Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.