Inaweza kutokea, hata Tido Mhando siku zile aliteuliwa na hao hao, lakini alipoingia mzigoni akaaamua kutekeleza majukumu yake bila kuwajali sana wao. Japo mara moja moja alikuwa anakengeuka.Mkuu,
Hilo litawezekana tu kama uteuzi wake haujafanywa na mkiti wa ccm. Si unajua achebe aliwahi kusema mkono haujawahi kupata ajali ukielekea kinywani?
Well done, she is my Professor, she can deliver! Hongera mama.
Hii tv inaongozwa na vilaza ukitaka kujua angalia vipindi vyao, ndio utajua inaongozwa na wajinga kama walio Magogoni.
Mwajabu? TBCCM? sawa tu. Sidhani kama kuna Tija hapo kwa TV ya CCM na CUF
Wakuu,
Nimepata hii taarifa muda si mrefu, nawashirikisha.
Wakuu,
Nimepata hii taarifa muda si mrefu, nawashirikisha.
Mkuu, jina lisikutishe mmaza anachapa kazi...Mwajabu? TBCCM? sawa tu. Sidhani kama kuna Tija hapo kwa TV ya CCM na CUF
Gachuma,ama kweli hii nchi ina wenyewe
Huyo Waziri ana nia kweli ya kuinua michezo? Kwa kuangalia huo uteuzi, anatambua ni kitu gani hasa kinatakiwa ili kuinua kiwango cha michezi nchi hii?
Na huyo Dr Mariam Nchimbi ana uhusiano wowote na Waziri wa mambo ya ndani?
Kwenye hiyo list ya wajumbe wa bodi, mbona namba (ii) haipo? Wamekosea kuweka namba ama kuna mjumbe wamesahau kumweka? Hii ndio Tanzania.
UNAEELEWA MAANA YA HAWATAKI KUWA SECOND CLASS EVEN THOU HAMNA:A S-confused1:Inamaana wale waliokuepo awali wamepigwa chini.wakina prof mgombello?
Wakuu,
Nimepata hii taarifa muda si mrefu, nawashirikisha.
POMPOWell done, she is my Professor, she can deliver! Hongera mama.
Kwa Mama Mwajabu nadhani anastahili kabisa. Lakini kwa Gachuma kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, hapa serikali inateketeza taaluma ya chuo husika.
There you are... Mkuu ukiangalia kazi za mwenyekiti wa Bodi utagundua mwenye Rungu ni RED, na tatizo lipo hapo MwanaPOMPO
naamini unampongeza kwakuwa tu ni prof wako.
LAKINI huyu ni mtu bogus, mwoga haina mfano. Alikuwa SJMC kwa zaidi ya miaka sita lakini alikuwa anashindwa kutoa arguments kwa wakubwa UDSM ili kuiboresha SJMC. Walau kale ka mama kengine Dr Kilian kalisaidia kuibadili SJMC.
Prof Possi ni mzuri katika kuandika academic papers tu. Lakini katika kukaa chini kjenga hoja na kuitetea hadi kuhakikisha inakuwa implemented, huyu mama ni ZIRO>
Kama huniamini, mpe mwaka mmoja utaona kama TBCCM haitazidi kuzama na kuwaudhi watanzania. Mbaya zaidi Mkurugenzi wa hiy TBCCM mwenyewe naye BOGUS mwingine Clement Mshana.
Tuna kazi kubwa sana watanzania