Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

Mbona Mzanzibar ni mmoja tu!!.
Au hichi sio chombo cha muungano?
 
Kwenye hiyo list ya wajumbe wa bodi, mbona namba (ii) haipo? Wamekosea kuweka namba ama kuna mjumbe wamesahau kumweka? Hii ndio Tanzania.

namba (ii) lilikuwemo jina la Sheikh Ponda wa Ponda lakini likakatwa na hawaku-edit numbering
 
Reactions: SMU
Hivi tunavyosema fulani aula tuna maana gani? Kwamba anaenda kula kwa kufanya ufisadi au? Nadhani ni vyema tutumie Maneno ya Zitto Kabwe kwamba 'Tumpe pole na kumtakia kazi njema'. Maana tunavyosema ameula tunamwambia aende kula. Sasa anapofika na kukosa chakula afanyeje? Ndio mwanzo wa kuanza kuskia kashfa.

Ni mawazo yangu wadau, sijui nyie mnaonaje..
 
"Natamani kuelekea 2015 vijana muwe kama wendawazimu, yaani natamani hata mvute bangi" - Gachuma, Mwenyekiti wa Bodi ya chuo Mallya!

Tehetehe!
 
SIKU HIZI WATU WANAPEWA VYEO KAMA ZAWADI, ndo inapelekea kushindwa kumuwajibisha pale anaboronga kazini.
 
it is true gachuma ana fedha kibao za kusaidia uchaguzi kanda ya ziwa na mara,lakini he is a mere standard seven je atashauri nini katika taaluma ya michezo na tena mwenyekiti.tuchunguze waziri kwao wapi/
 
Nachoomba Mungu ni kwamba Prof. Possi asiende kujiaibisha huko TBC kama alivyofanya Gen. Mboma TANESCO.
 

Mkuu,

Hilo litawezekana tu kama uteuzi wake haujafanywa na mkiti wa ccm. Si unajua achebe aliwahi kusema mkono haujawahi kupata ajali ukielekea kinywani?
 
TV ya taifa haipatikani online karne ya 21, ama kweli imekula kwetu siku nyingi.
 
Hivi kumbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ni kuula? Kwa ujinga wangu nilifikiri ni changamoto ambayo mtu mwadilifu hafurahii sana kuwa mjumbe wa Bodi nyingi.

Shirika pumbavu kama TBC mtu anafurahia kuwa Mwenyekiti wa Bodi yake?
 
Mkuu na tarehe je? 18/10/20121
Mkuu wa idara hii ya matangazo naye asimamishwe kazi kwa uzembe, maana mpaka hapo hili tangazo si halali kisheria, maana tarehe imekosewa na number mjumbe mmoja amefutwa kimakosa......Tanzania zaidi ya uijuayo...
 
Well done, she is my Professor, she can deliver! Hongera mama.

TBC imepoteza sana mvuto tangu Tido aondolewe. Lets hope kuwa prof atairudisha kwenye mstari ili kiwe chombo cha taifa badala ya propaganda za ccm.
 
TBC imepoteza sana mvuto tangu Tido aondolewe. Lets hope kuwa prof atairudisha kwenye mstari ili kiwe chombo cha taifa badala ya propaganda za ccm.
Nadhani hiyo ndio changamoto kubwa alionayo, kuifanya kuwa ya Taifa, na kuifanya ikubalike kote kote
 
SMU umezidi kudadisi. Mambo ya Ikulu hayahojiwi....
 
Gachuma ni mjumbe wa Nec wilaya ya Tarime mmiliki wa nyanza Botling Mwanza,NEW MWANZA HOTEL,S&c Ginning Co. Ltd Bunda na ana share Serengeti Briweries na makampuni kibao Tanzania, amekula shavu jingine kweli alie nacho anaongezewa.
 
Tunachotaka iwe TV ya Taifa sio ya Mafisadi na hiyo list hapo wote hao mafisadi na ndo imeshakufa kama inavyokufa CCM yake shame upo you Bodi ya Mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…