TANESCO Naona wamefeli kutuweke umeme stable mitaa ya ILALA toka toka tarehe 29/1/2016 unakatika Zaidi ya mara kumi
Inaonekana kazi waishindwa ukiwauliza majibu “HATUJAJUA TATIZO LIPO WAPI BADO TUNAFUATILIA”whaaaaaaaaaaaaaaaat inafika wiki sasa hawajui tatizo lipowapi?
Umeme mpakali lini matatizo yataishaaaaaaaaaaaaaa
Pia wanaweka General line ya Airtel siku zote haipatikani na ipo kwenye tovuti yenu mnamaanisha nini 0784 768 586
View attachment 321078
TUMBUA HILI JIPUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Rais Magufuli TANESCO JIPU LIMEIVAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA[/QUO
Tanesco Kibaha Na Kinondoni pia kuna Uvimbe, inabidi upasuliwe, Umeme hauna nguvu hata kidogo bora kutumia solar power
Frank tunaomba ulijibu hili na treborx toa reference numbers ya hizo kesi
Kwanza natoa moja: Ref # TB 15010502 ambayo ilitolewa tarehe 4/10/2015 kwenye ofisi ya Tanesco mbeya. Kesi hii inahusu nguzo ya umeme ambayo imeanguka na nyaya kugusa fensi ya chuma hivyo kutoa cheche. Hata leo iko hivyo hivyo!.
pole KAKA hata SIE ni hivyoMimi nakaa hapa Tabata matumbi ni balaa tangu mvua zilipo anza kunyesha ili wiki mpaka leo umeme unakatika kwa siku si chini ya mara 10 na mda mwengine tunalala giza kama jana mnatunguzia vitu vyetu majumbani.
Natumaini hilo tumeshaliongelea kesho litafanyiwa kazi limalizikenamshukuru huyo msemaji wa Tanesco kujitokeza na kujibu hoja mbalimbali na pia kutoa namba za malalamiko ila hata mimi niliwahi kuandika barua Tanesco ya kubadilishiwa tarrif kutoka tarrif i kuja tarrif 4 walinijibu barua yangu tarehe 7 na kunieleza swala langu wataanza kushugurikia baada ya siku tatu ikiwa pamoja na kufanya ukaguzi wa mita ninayotumia na baada ya siku 15 za kazi litakuwa limepatiwa ufumbuzi.Baada ya muda kufika bila kuona jambo lolote nilirudi tena Tanesco ilala na kuwauliza nini kinaendelea, walinielekeza kwenda ghorofa ya pili kuonana na wahusika.Nilienda hadi huko baada ya kuwaeleza waliniambia inabidi nipeleke nakala ya barua yangu kwa sababu wao wanatakiwa wapate nakala na ili wakague na kupeleka taarifa idara ya uhasibu.Kinachonishangaza kwanini Tanesco hawakunieleza taratibu hizo wakati wanajibu barua yangu.Lakini pamoja na kupeleka nakala ya barua yangu mpaka sasa sijapata jibu lolote
Trebox nafanya mwasiliano na ofisi husika ntakujibu, pia unaweza kutumia number hiyo hapo juu for quick assistanceKwanza natoa moja: Ref # TB 15010502 ambayo ilitolewa tarehe 4/10/2015 kwenye ofisi ya Tanesco mbeya. Kesi hii inahusu nguzo ya umeme ambayo imeanguka na nyaya kugusa fensi ya chuma hivyo kutoa cheche. Hata leo iko hivyo hivyo!.
ni kweli nawapongeza kwa hilo na pia kwa kutoa namba yenuNatumaini hilo tumeshaliongelea kesho litafanyiwa kazi limalizike
Kuhusu namba TANESCO walitoa namba za ma meneja wa kanda na Mikoa kwenye vyomboTANESCO Naona wamefeli kutuweke umeme stable mitaa ya ILALA toka toka tarehe 29/1/2016 unakatika Zaidi ya mara kumi
Inaonekana kazi waishindwa ukiwauliza majibu “HATUJAJUA TATIZO LIPO WAPI BADO TUNAFUATILIA”whaaaaaaaaaaaaaaaat inafika wiki sasa hawajui tatizo lipowapi?
Umeme mpakali lini matatizo yataishaaaaaaaaaaaaaa
Pia wanaweka General line ya Airtel siku zote haipatikani na ipo kwenye tovuti yenu mnamaanisha nini 0784 768 586
View attachment 321078
TUMBUA HILI JIPUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Rais Magufuli TANESCO JIPU LIMEIVAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Kuhusu namba TANESCO walitoa namba za ma meneja wa kanda na Mikoa kwenye vyombo
mbali mbali vya habari.
Tuweke na hapa number za menejaz
Ni lini ulijibiwa HATUJAJUA TATIZO? pia unapo toa taarifa unatakiwa kupewa TB namba kwa ajiri ya kufuatilia ulipewa?
Wiki hii nilijibiwa siku ambaya mmeka umeme kuanzia 2100Hrs to 0100 Hrs TB sikuchukua sababu nilikereka
Upo Ilala sehemu gani ambapo unatatizo la wiki nzima halijatatuliwa?
ILALA Bungoni but toke jana taarifa ilipotolewa hapa umekatika mara moja time 2100 na ulichukua zaidi ya dakika 10
PM namba yako
Kuhusu namba TANESCO walitoa namba za ma meneja wa kanda na Mikoa kwenye vyombo
mbali mbali vya habari.
Ni lini ulijibiwa HATUJAJUA TATIZO? pia unapo toa taarifa unatakiwa kupewa TB namba kwa ajiri ya kufuatilia ulipewa?
Upo Ilala sehemu gani ambapo unatatizo la wiki nzima halijatatuliwa?
PM namba yako