Van persie
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,099
- 720
Amekuibia fedha zako ngapi?Hela alizoiba zikiisha hutamsikia tena
Zitto Kabwe Zuber alisema Muhongo ni Muongo halafu ni Mwizi. Sasa mnapoema ni Mtu safi inatoka wapi?.
Zitto Kabwe Zuber alisema Muhongo ni Muongo halafu ni Mwizi. Sasa mnapoema ni Mtu safi inatoka wapi?.
....aende huko huko akawaibie, huku hatumtaki. kwanini akomalie bongo kama anauwezo wa kula shavu viwanja...? anajua alichokuwa anapata bongo kwa wizi, kwa wazungu hawezi kuwaibia bhabhabhaaaaaaabaaaa....
...majambazi nayo yajiita mazalendo, hii nchi imelogwa sana...Mkuu hebu tuonyeshe wizi wake upo sehemu gani? Yeye ni Mtanzania Mzalendo lazima apende kwanza nchi yake.
...majambazi nayo yajiita mazalendo, hii nchi imelogwa sana...
...to be specific rais wa kampuni ya ruge alyo iruhusu kufanyia udalali ofisini kwak...Muhongo uraisi labda wa Chama fulani cha wachimba copper ama uraisi wa ile kampuni ya power pool ya wajomba zake
...majambazi nayo yajiita mazalendo, hii nchi imelogwa sana...
Zitto Kabwe Zuber alisema Muhongo ni Muongo halafu ni Mwizi. Sasa mnapoema ni Mtu safi inatoka wapi?.
...nijiridhishe mara ngapi, report ya takukuru imesema, ya CAG imebaini wazi jamaa ni jambazi. kama kuna mtu anabisha ushahidi huu wote basi ana matatizo kumkichwa. kama jambazi hlikuharbu basikusngekuwa na yanayoendelea kwenye tume ya maadili....Hii nchi imelogwa na watu wanaoendeshwa na siasa uchwara kama wewe....Hata uwezo wa kuchambua na kujiridhisha kwa kile kilichosemwa huna....
Hoja dhaifu na utetezi dhaifu
ameiba nini? wazungu wameshamchukua huko kwao ana wachapia kazi ....sisi tunabaki na siasa mbofu mbofu...zinazomeza professionals
Maskini wa akili ni mbaya sana ndugu zangu, kazi iliyifanywa na Prof Muhongo na team yake pale wizarani msiitegemee kwa miaka ya karibuni. Watanzania wazalendo na wachapa kazi hawatakiwi na pia HIZI NJAA ZETU ZITATUFIKISHA PABAYAHivi nani anaweka thread kumhusu huyu profesa takataka humu?
Tumechoka,kila saa muhongo this muhongo that,tulishafukuza,akafie huko..atulie