Prof Mbawara, hivi ndivyo jinsi mafuta ya ndege yanavyoibwa. Mliangalie huko usoni

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Dear Prof,
Good morning

Najua mna kawazo kazuri kwa ajili ya kulirudisha tena shirika la ndege kwenye ubora wake. Ninachoandika hapa hakihusu shirika hili, ila angalizo nao ni binadamu wana watoto wanahitaji kusoma South Africa na shule za Feza hivyo wanaweza ingia huu mtego.

Muwe makini sana na kuwepo hata mtu wa wizarani kwenye kujaza mafuta.

Kinachofanyika kampuni zinazoleta mafuta magari yao kama wamejipanga kupiga ltr 500 wanakuja na reading iko 500. Mfano rubani anasema nataka ltr 1500, pale anapoanza kujaza anaanzia na 501 na kuishia 1500. Ndege inakuwa na mafuta 1000 ltrs tu.

Michongo hii huwashirikisha rubani +engineer +jamaa wa mafuta.

Kwanini rubani?

Kabla ya kujaza lazima awe na reading eg 1000 so anaposema 1500 KWENYE ndege lazima iread 2500. Lakini wanapokubaliana wanaondoka na mafuta ya 2000 ltrs yeye anajua ataziburn vipi ndege irudi. Ile 500 wanaume wanarekebisha na mgao humalizikaa pale kabla ya ndege kuruka.

Muwe makini sana ufwatiliaji wa mafuta mnaweza kuta mnalipia ltr 40,000 kwa wiki kumbe 8,000 zinaingia mfukoni mwa watu.
 
Duuh! Hope unamaanisha tu-ndege Pori kama PW, Tanzanair & Coastal hukooo. Kitu kama LKM, Emirates sijui Swiss unaongeaje na Pilot eti tupige dili za mafuta? Mshahara wake tu unakaribia Mishahara ya walimu 800 wa halmashauri ya URAMBO
 
Back
Top Bottom