Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

Makosa ya Lese Majeste (kumtukana kiongozi0 wenzetu walioendelea kidemokrasia wameacha kuyafuatilia miaka mingi sana.

Rais anatakiwa awe ndiye mtu wa mwisho kabisa katikalegal protection kuhusu kutukanwa,per Noblesse Oblige.

Sisi tumemfanya awe mtu aliye na protection zaidi ya mwananchi wa kawaida.

Tunaiga mifumo, halafu tunafanya kinyumenyume.
 
Mwandosya anatumia ishu ya SUGU kama NGAO ili suala la uuzwaji wa KIFISADI la Airtel likiibuka aseme kesi imekuwa kisiasa kwasababu alienda KUMLAKI Sugu.
 
Hakufungwa kwa kosa la jinai nyie lumumba muoneeni lkn haki yake apewe mahakama za ccn na polisi ccm nwisho wenu unakuja ni kuwanyonga tu majizi nyie
 
Hii kutokana na kuwa na raia wenye upeo mdogo imepelekea tunapata viongozi wenye upeo udogo as well.
 
Kwa akili hizi fupi na uwendawazimu wetu hakika hii nchi hata Chid Benz anaweza kua Raisi wa JMT bila shida yoyote na tukasonga tu,Sugu kasema wazi alifungwa kiholela na ametoka kiholela kitu ambacho ni kweli bado sioni dhambi kwa Prof Mwandosya kwenda kumjulia hali kijana wake.
Tundu Lissu na CDM wamesema wazi shambulio la TL ni mpango wa serikali wamesema mara nyingi tu ila hili halikumzui mzee Mwinyi kwenda hosp kumjulia hali au na yeye ana vinasaba vya upinzani maana kaenda kumuona TL wakati anaishi kwa kodi ya serikali ya Mzee Jiwe.
 
Mwandosya kwa sasa ni attention seeker,tunafahamu kwamba uchunguzi juu ya ubadhirfu wa kuuza TTCL kwa dola elfu mbili unajongea kwake,kwa hiyo likilipuka ionekane kaonewa kwa sababu tu alimpokea sugu
Anamtumia sugu kama kichaka cha kuonewa huruma pale Takukuru watakapofanya kazi yao
 
Duh! Mandela alishitakiwa kwa kosa gani? Hakuna nchi inayomshitaki mtu kujihusisha na siasa akafungwa. Wote hushitakiwa kwa makosa ya jinai lakini watu wanajua nyuma ya pazia ni siasa. Kataa usikatae Sugu kifungo chake kilikuwa na kila dalili ya kifungo cha siasa.

Na haya unayoandika ni ya kisiasa. Umeonyesha wazi ubaguzi, kisasi na kufikiria kuwa Mtanzania bora ni yule tu anayekuwa ndani ya CCM na kukubali yanayofanywa na serikali yake asilimia mia! Na zaidi aliye mzalendo ni yule hasiyefanya kinyume na matakwa ya Mwenyekiti wa CCM! Ajabu sana. Kwa hiyo ili uwe kwrnye bodi yoyote nchi hii ni lazima huonyeshe chuki kwa wapinzani. You are so low...mimi si shabili wa Prof Mwandosya lakini nafikiri ametenda uzalendo zaidi hapa kuliko wrngi wenu.
 
Hayupo sahihi hata kidogo. Jinai ndiyo ilimfunga Sugu na si vinginevyo.
Mkuu uko sahihi mwandosya kazeeka anatakwa avuliwe uprofesa Ni wapi hukumu inasomeka kuwa sugu kafungwa kwa siasa hakuna neno siasa kwenye judgement nzima Mwandosya Kama profesa alitakiwa ajue hilo
 
CCM mnatumia nn kufikiri. Mnasema Mwandosya ni mnafiki coz anamuunga mkono aliyemtusi rais na hapohapo rais huyo alotusiwa ndo mnasema kamtoa Sugu gerezani, mkiitwa shithole mtabisha?
Wwe ndo shithole hujui hata unawaza nni?.. Sugu kutolewa na rais haimuondolei kosa la jinai alilotenda. Wala haiondoi dhana ya unafiki ya mwandosya kuuhadaa umma kwamba sugu alikua mfungwa wa kisiasa wakati anajua fika kwamba alihukumiwa na mahakama kwa kosa la kutumia lugha ya matusi kwa rais. Ushahidi wa video na sauti viliwasilishwa mahakamani akakutwa na hatia kwa mujibu kifungu cha 89 (1) cha penal code kinachohusu Penal Code.
 
Kwamba aliiuza TTCL kwa bei ambayo hata milioni tano ya Kitanzania(dola elfu mbili) haikufika?
Tuwe makini na maandishi yetu, lakini kama ni kweli basi, Mwandosya na walio kuwepo kama wakubwa wake na washauri wake kwa ujumla wanastahili kunyongwa.
 
Aliyetoa mada au povu kuhusu Mwandosya naona ana chuki binafsi nae. Anauliza Mwandosya alifanya nini? Awaulize jimboni kwake. Afadhali siku hizi tunapanda ndege sijui kama mtoa mada anajua ilikua juhudi ya Mwandosya.Yeye Mbeya amejifanyia nini? Kwa taarifa yake, Mwandosya hatibiwi na Serikali tangu amestaafu.
 

Mimi sikuona, sijaona na sina hakika kama nitaona hayo matusi aliyotukanwa Magufuli....

Hivi, Mh. Joseph Mbilinyi a. k. a Sugu alimtukana Rais Magufuli kweli? Matusi hayo unaweza kuyaweka kwa manufaa ya wanaJukwaa wasiojua kama mimi?

Honestly, naamini kabisa hata wewe huna hayo matusi yaliyotoka kwa Sugu kwenda kwa Magufuli. Ni kwa sababu umekaririshwa tu na unaowaandikia.....!

Yes. Concern yako hata siyo hayo usemayo "matusi". I believe, your problem ni kwa nini Prof Mark Mwandosya aende kumpokea Sugu wa CHADEMA wakati yeye ni CCM, basi.......hakuna kingine!
 
ninajitahidi kupambanua mambo kwa maslahi ya Taifa naona unachokifanya sio sawa
ww hupambanui mambo kwa maslahi ya taifa, sema unapambanua mambo kwa maslahi ya genge lenu ccm.
 
Mbona yule aliyewaita watu pumbavu pale Arusha akiwa na RC hajakamatwa?
 
Mbeya tumeungana kupinga ukatili wa awamu hii....
 
Kuna umri ukifika ukastaafu Ni vizuri kuendelea na Mambo mengine Kama kulea wewajukuu nk sio kuendelea na Yale uliyostaafia .Mwandosya umri umeenda Bado anaota siasa na wazee wenzie akna Sumaye
Waziri wa utawala bora ana umri gani? Mshauri na yeye! Hivi Wasila amestaafu siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…